Kuchagua ccm ni sawa na kung'ang'ania kuendelea kutembea kwa miguu umbali mrefu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchagua ccm ni sawa na kung'ang'ania kuendelea kutembea kwa miguu umbali mrefu.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by miradibubu, Sep 28, 2010.

 1. m

  miradibubu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nimeamua kusema haya ili kuwatanabaisha wale wanaodai kwamba sisi tutachagua sisiem kwa sababu tumezaliwa katk sisiem.

  Hii ni kushindwa kutafakari na wakati mwingine ni mwendelezo wa propaganda wa sisiem.
  Ninawakumbusha kwamba hivi ingekuwaje wazee wetu wangeendelea kuukataa usafiri wa magari eti kwa sababu tu wamezoea kutembea kwa miguu.

  Tungesitaajabu kwa muda mrefu sana. Rai yangu ni kwamba Dr. Slaa ni mbadala wa sisiem ambayo ni sawa na kutembea kwa miguu umbali mrefu.

  Kuliko kuendelea kutembea kwa miguu ni bora hata ukanunua baiskeli-( Hashim wangwe, Mwitamwega, Mziray na n.k) au nunua pikipiki- Prof. Lipumba.

  Lakini kama unataka kufika unakotaka kwenda hauna budi kununua gari jipya ambalo ni Dr. Slaa. Sitaki kumfananisha na ndege kutokana na ukweli wa changamoto zilizopo katika nchi yetu.
   
Loading...