Kuchagua CCM itakuwa ni 'GRAVE MISTAKE' Kwa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchagua CCM itakuwa ni 'GRAVE MISTAKE' Kwa watanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masauni, Sep 26, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu inabidi tuache Ushabiki na tuangalie mustakabali wa nchi yetu. Pengine tunashabikia bila kufahamu mambo haya. Kuipa kura CCM itakuwa ni 'grave mistake' kwa watanzania. Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo

  • CCM ikiingia madarakani itakuwa ni kama imepewa go ahead na ufisadi, watafanya ufisadi kama kawaida na hata wapinzani wakipinga bado watakuwa na strong point kwamba kama CCM ni mafisadi mbona wananchi walitupa ridhaa ya kuongoza nchi? hakuna mtanzania hatakaye weza kujibu swali hilo.(swala la kuiba kura halitakuwepo hapo)

  • Ishu za kagoda, meremeta, kiwira ndo zitakuwa zimezikwa rasmi HUTAZISIKIA TENA, na hata wapinzani wakitaka kuibua kashfa itakuwa ni ngumu kwa maana watawambia si mliwaeleza wananchi kuhusu ufisadi huo,kama ni kweli si wangewapa ridhaa ya kuongoza nchi, watasema siku zote wapinzani ni waongo

  • Lowasa na wenzake watakuwa na nguvu kubwa sana ya kurudi serikalini na hata kugombea Uraisi. kwa kigezo cha kwamba kama kashfa zake zilikuwa za kweli mbona wananchi walimchagua tena kwa kishindo(Mtanzania uliye makini kumbuka maneno ya kikwete alipokuwa akimnadi lowasa,mramba)
  • CCM watahakikisha wanaweka sheria ngumu mno kwa wapinzani kuhakikisha kwamba they will never ever try to challenge the ruling party CCM.
  Na ndo maana nasema ni pigo kubwa kwa watanzania kwa sababu tatizo kubwa ni ufisadi ambao unaathiri uchumi si wataifa tu hata wa mtu mmoja mmoja
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  mmhh kazi ipo....
   
 3. h

  hagonga Senior Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mkuu,
  sasa kazi yetu kubwa ni kufanya kila namna kwa nafasi zetu kwa jamii kuwashawishi, ndugu jamaa marafiki kuhusu umuhimu wa kulielew hilo
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  mzee hapa nakubaliana na wewe kitakuwa ni kipindi cha lala salama kwa jk hatajali mtu, si watu watakuwa wamempigia kwa kiherehere chao
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Masauni

  kweli kabisa hii chance tukiichezea mafisadi wata jizatiti zaidi.

  ole wetu
   
 6. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanasubiri kupata ridhaa ya kushika serekali ili waweze kufanya biashara ya Kigamboni kwa usalama zaidi.
  hata hivyo pesa inayopatikana hapo mlimani city itafichuliwa kuwa ni nani anayeichukua.
  wako tayari kwa lolote kuhakikisha wanaingia madarakani hata kwa kumwaga damu ya watu wachache.
   
 7. S

  Selemani JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  I believe we can all use a little Burkenism in this coming election--
   
Loading...