Kuchafua hewa

Nipigie

Senior Member
Nov 2, 2010
121
7
Habari wakuu.
Kutokana na desturi zetu, kujamba au kutoa hewa ile chafu mbele za watu si vizuri na mara nyingi wazee wamefikia hadi kusingizia wajukuu au watoto kuwa ndoo wamechafua hewa kumbe ni wao. Ila nasikia (not proved) kuwa wazungu wapo wazi akifyatua hiyo kitu basi anawaambia tu samahani (am sorry) .Swali Je, ni haki kama kula?? au nini cha kufanya ikitokea, au lugha ghani itumike. Maan sometime hii kitu huja bila kujipanga??.
 
anaetaka kujamba aende ******, hiyo ndo adabu inayotakiwa kwa watoto na watu wazima
 
Back
Top Bottom