Kubweteka kwa wanawake mara baada ya ndoa ndiyo chanzo kikubwa cha nyumba ndogo

MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
444
Habari kwenu!

Wanawake wengi enzi za uchumba hujituma sana na kuonyesha kwamba kweli ni wanawake wanaofaa ktk ndoa lakini wanapoolewa tu hubadilika kama ifuatavyo:

1. Alikuwa msafi sana lakini akiolewa uchafu unaanza.Kosa kubwa sana

2. Alikuwa anajituma ktk upishi mara tu baada ya kuolewa basi anaanza kumuachia house maid afanye kila kitu, mwisho wa siku mwabwana wasio na uvumilivu wanamfanya na house maid kuwa mke wa pili.

3. Kujituma ktk tendo la ndoa kunapungua.Kosa kubwa sana maana ndoa bila tendo la ndoa hakuna ndoa.Uchafu, uvivu, kukosa ubunifu kunasababisha ndoa kutetereka.Usishangae kabla ya ndoa wote mlikuwa mnafika lakini baada ya kuoa usishangae akakuambia baby kojoa basi nikalale, Au bado hujakojoa tu?Tena kama amezaa ndiyo usiseme. Vitu kama hivi ni kosa kubwa sana.

4. Kiburi kwa kudhania kwamba kufunga ndoa ndio wamemaliza kila kitu huku wakisahau kwamba penzi linahitaji kupaliliwa kila siku.

Onyo kwa dada zangu wa kikristo:Ndoa ya mke mmoja isiwe kigezo cha nyinyi kubweteka pia muelewe kwamba shetani yuko kazini kila saa na wanawake warembo wanazaliwa kila siku.Ukizubaa utaletewa virusi ndani mwako bila kujua.

Katika mchakato wa kuelimishana nyote mnakaribishwa kuchangia.
 
ni kweli inabidi wajitahidi(sustainable maintanance ya characters) ili kuupeka uke mwenza na numba ndogo kama hawa hapa chini

10304705_287486394744387_4926143711381215330_n.jpg
 
Habari kwenu!

Wanawake wengi enzi za uchumba hujituma sana na kuonyesha kwamba kweli ni wanawake wanaofaa ktk ndoa lakini wanapoolewa tu hubadilika kama ifuatavyo:

1. Alikuwa msafi sana lakini akiolewa uchafu unaanza.Kosa kubwa sana

2. Alikuwa anajituma ktk upishi mara tu baada ya kuolewa basi anaanza kumuachia house maid afanye kila kitu, mwisho wa siku mwabwana wasio na uvumilivu wanamfanya na house maid kuwa mke wa pili.

3. Kujituma ktk tendo la ndoa kunapungua.Kosa kubwa sana maana ndoa bila tendo la ndoa hakuna ndoa.Uchafu, uvivu, kukosa ubunifu kunasababisha ndoa kutetereka.Usishangae kabla ya ndoa wote mlikuwa mnafika lakini baada ya kuoa usishangae akakuambia baby kojoa basi nikalale, Au bado hujakojoa tu?Tena kama amezaa ndiyo usiseme. Vitu kama hivi ni kosa kubwa sana.

4. Kiburi kwa kudhania kwamba kufunga ndoa ndio wamemaliza kila kitu huku wakisahau kwamba penzi linahitaji kupaliliwa kila siku.

Onyo kwa dada zangu wa kikristo:Ndoa ya mke mmoja isiwe kigezo cha nyinyi kubweteka pia muelewe kwamba shetani yuko kazini kila saa na wanawake warembo wanazaliwa kila siku.Ukizubaa utaletewa virusi ndani mwako bila kujua.

Katika mchakato wa kuelimishana nyote mnakaribishwa kuchangia.

suala la wanaume nao wakiingia kwenye ndoa kutomjali mke..kumuona mke kashafungwa kifungo hawezi kutoka kutompa nafasi ya kumsikiliza .kumnyima haki yake ya ndoa mf wakati wa uchumba unajituma mno uonekane ngangari lkn ukioa ni wa kubeep tu namengine kibao nayo mjue husababisha ndoa kuharibika! si mwanamke tu hata mwanaume aweza leta adhari ktk ndoa.
 
Mada yako ingeweza kuwa sawa kama ungesema "ni moja ya sababu za nyumba ndogo" lakini sio kusema "ndio chanzo kikubwa" kwasababu kuna ndoa zingine mwanamke ndio muwajibikaji kuanzia kwenye kutafuta hela hadi kitandani wakati li jamaa lenyewe lipo tu

Hebu jaribu kutenda haki bana!
 
Hehheh loh,thredi za wanawake wiki hii..yeleeyelee kina mama .....
Je wanawake tu ndo wenye makosa?? unawazungumziaje wanawake wanaochepuka siku hizi,mana ni wazi hata mwanaume ukizingua bi dada nae hachelewi mnakuwa ngoma droo....
 
si kweli nafikiri swala la nyumba ndogo limetokana sana na kushindwa kujidhibiti kwa wanaume na pia kuweka tamaa za kimwili mbele kuliko kitu kingine chochote na pia kukosa hofu ya Mungu kabisa,kwani swala la mwanamke kujibweteka ni swala ambalo mume anaweza kumweleza mke wake wapi anapwaya na wapi afanye marekebisho na kama mke ni mwelewa mambo huenda mswano.
 
ni kweli kabisa...tena nilitaka nianzishe jiuzi kama hili baada ya ule wa jana wa kuolewa bila nguo..nyau!!
 
si kweli nafikiri swala la nyumba ndogo limetokana sana na kushindwa kujidhibiti kwa wanaume na pia kuweka tamaa za kimwili mbele kuliko kitu kingine chochote na pia kukosa hofu ya Mungu kabisa,kwani swala la mwanamke kujibweteka ni swala ambalo mume anaweza kumweleza mke wake wapi anapwaya na wapi afanye marekebisho na kama mke ni mwelewa mambo huenda mswano.

Ni ukweli mkuu muhimu kila mmoja ajitahidi kufanya ndoa inakuwa mpya kila siku.."...ni mpya kila siku asubuhi uamifu wako ni mkuu"
 
Wkt mwingine YES, Wkt mwingine NOO...Wanaume nao wamezidi...Kuna baadhi ya wanaume bila nyumba ndogo hawezi....Anaona km anapewa maharage kila siku...anataka kubadilisha mboga
 
me nashangaaga hii makitu, mkeo mvivu ukimuoa, mkeo mchafu ukimuoa, wenzio wanammendea wanatamani usafiri,
 
suala la wanaume nao wakiingia kwenye ndoa kutomjali mke..kumuona mke kashafungwa kifungo hawezi kutoka kutompa nafasi ya kumsikiliza .kumnyima haki yake ya ndoa mf wakati wa uchumba unajituma mno uonekane ngangari lkn ukioa ni wa kubeep tu namengine kibao nayo mjue husababisha ndoa kuharibika! Si mwanamke tu hata mwanaume aweza leta adhari ktk ndoa.

nimekupenda umeongea...umejaribu kulenga kila kona...japo kwa wanaume hujawapa mapande saana yapo mengiii
 
Pia wewe kaka km ulikuwa unakaa vijiweni / Maskani na wanaume ambao hawajaoa Ukishaoa badilika...Story za maskani huko wkt mwingine unakuja mfanyia mfano mkeo..Kuoa ni kuingia ktk Utu uzima, Busara kwa wingi inahitajika...Ubadilike...Ujitambue..
 
Mada yako ingeweza kuwa sawa kama ungesema "ni moja ya sababu za nyumba ndogo" lakini sio kusema "ndio chanzo kikubwa" kwasababu kuna ndoa zingine mwanamke ndio muwajibikaji kuanzia kwenye kutafuta hela hadi kitandani wakati li jamaa lenyewe lipo tu

Hebu jaribu kutenda haki bana!

True! Thank you!
 
me nashangaaga hii makitu, mkeo mvivu ukimuoa, mkeo mchafu ukimuoa, wenzio wanammendea wanatamani usafiri,

Siyo wanammendea, ni kwamba wanamchepua tena wako vizuri kuliko yeye, wanamsaidia hata kusupport familia kiuchumi!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom