% kubwa ya member wapya wanajiunga na jf kuomba ushauri wa kimapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

% kubwa ya member wapya wanajiunga na jf kuomba ushauri wa kimapenzi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Rogie, Feb 4, 2012.

 1. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,277
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Habari zenu GT..nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu thread ambazo wanachama wapya wanatupia humu mara nyingi huwa ni za kutaka/kuomba ushauri wa kimapenzi. Lkn miongoni mwao wengi ni wanawake...swali ninalojiuliza ni hv kweli wanaume tuko wabaya kiasi hiki? Kwann tuwasumbue hawa vuimbe wazuri jmn? Minawapenda sn wanawake jmn na huwa cpendi kuwaumiza ht kdg..
  Je wenzangu na nyinyi mmeliona hilo la new member na ushauri wa kimapenzi zaidi....!
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na wewe unaomba ushauri ili uzidi kuwapenda wanawake?
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,277
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Wala siombi ushauri hapa...nawathamini sn na kuwaheshimu wanawake. Naposema nawapenda simaanishi kimapenzi.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kabisa hilo ni swali la kuuliza?

  Huko mitaani huoni wanawake wanavyotaabika kulea watoto na kuendesha familia wakati mume yuko bar ama kwa nyumba ndogo? Hujaona wenye ngeu sababu yakupigwa? Hujasikia wavyoshushiwa heshima kwa nyumba ndogo? Wanavyokashiwa wanaume wakitoka huko kwenye nyumba ndogo zao? Wanavyoachwa na mimba wajijue wenyewe kwa visingizio vya kwamba sio zao? Wanavyobakwa ndani ya ndoa zao wenyewe? Wasivyopewa nafasi ya kushiriki maamuzi ya familia? Wanavyodhalilishwa kwa mwanaume kutembea na dada wa kazi kwenye kitanda anacholala na mkewe? Kusimangwa? Kudharauliwa?

  Yote hayo hujaona wala kusikia?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  anawashangaa wanaojifunza a,e ,i, o ,u eti wanajifunza kusoma wakati yeye anataka afunzwe chwa, chwe, chwi, chwo, chwu.

  Sijui yeye anahesabu?

   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,277
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  I have spoken my mind..simaanishi kwamba sijaona najaribu kuelezea in other way jinsi wanaume tunavyowatenda wanawake.coz ukiangalia nyuzi nyingi humu wanawake wanalalamika kutendwa.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama umeona unauliza vipi kama wanaume ni wabaya kiasi hicho? Na kama umeona kinachokushangaza kwamba malalamiko dhidi yao yamezidi ni nini haswa?
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,277
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Kinachonishangaza ni kwann wanaume tunakosa utu kwa wanawake.
   
 9. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kuna bwana mmoja ye ni hakimu.. Alipata kuniambia anachukia sana jinsia ya kike!
  Huwa najaribu kuwaza na kuwazua jambo hilo..

  Ila,nadhani wengi wenye tatizo la chuki kwa akina mama ni kutokana na matatizo ya mahusiano ndani ya nyumba hasa wale walio ndani ya ndoa....
  Hasa zile za mke mmoja,mume mmoja....
   
 10. A

  ADK JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,149
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  100% nakubaliana na gamba wapo baadhi ya wanaume wanatendwa na wake zao, na unakuta wanashindwa kutoa maamuzi magumu kutokana na aina za ndoa na wengine kuwahurumia watoto hivyo wapo baadhi wanaugulia moyoni na wengine wanafungua branch kwa ajili ya kupooza maumivu
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Potelea kwa mbali kama hivyo usemavyo ndiyo ndivyo, tatizo liko wapi ? Hadi la kufikia kulianzishia thread ?
  Ungependa waulizie ushauri kuhusu lipi ?
  Aidha kwa maoni yako ungependa waulizie ushauri wa kile unachokitaka wewe ? Au ?
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mapenzi yanarun dunia!!!
   
Loading...