Jstrong
Member
- Mar 24, 2011
- 60
- 13
Elimu yetu inachezewa na wengi wakiwemo wakuu wa shule
Hawa wamejisahau sana
1wengi wao elimu zao ndogo kuliko walimu wanaowaongoza tatizo linaanzia hapo kwani ukipinga chochote ni dharau
2 Matumizi ya fedha yote yapo mikononi mwao tu wengi hawahusishi walimu wenzao kwa dharau na ubadhirifu tu.
3 kupunja walimu malipo ktk za ziada.huwez amin taratibu hazifuatwi kabisa,wanalipa waonavyo
4 kuondoa molari kwa walimu.Serikali mapungufu yake yanavumilika lakini sio hawa watu, inafika kipindi mwalimu anaona shule haimuhusu na ndio sababu ya nidham kuporoka sn kwa wanafunz.
Kwa ambao mpo nje ya tasnia hamuwez jua ili maendeleo ya elimu kwa aina hii ya wkuu wa shule ni ndoto kabisa.