Kubonyeza kizenji

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Msomaji wetu mmoja ametuandikia na kutuuliza swali ambalo limetuwia gumu kidogo kulijibu.Anasema, hivi karibuni alipokuwa nchini Tanzania(anaishi ughaibuni) alikuwa akisikia sana msemo wa mitaani unaoitwa “kubonyeza kizenji”.Anasema alipojaribu kuuliza wenyeji wake akaambiwa kwamba msemo huo umeanzia au kuanzishwa na Joti,muigizaji maarufu kutoka kundi la Ze Comedy.Miongoni mwa wenyeji wake na jamaa aliowauliza hakuna aliyempatia jibu la kuridhisha au kujitosheleza.Ndio maana akawa hana jinsi bali kutuandikia akitumaini kupata jibu kutoka kwetu.

Kwa bahati mbaya hata sisi hapa JF swali hilo limetupiga chenga.Na kama kawaida,hali hiyo ikitokea huwa hatuna budi kuomba msaada kwako msomaji/mtembeleaji wetu.Kama unafahamu,hebu msaidie huyu msomaji; Kubonyeza kizenji maana yake nini? Chanzo chake nini?

Pichani ni Joti akifanya hiyo mikogo ya “kubonyeza kizenji”
 
huyo Joti yuko wapi?
 
Nakubaliana na Bujibuji kuwa aulizwe Joti. Mie nathani kubonyeza kizenji ni kuchika ua kupapasa polepole kwa utaratibu kiasi cha kuleta raha. Sijui lakini?
 
Back
Top Bottom