Kubet ndio kazi iliyobakia

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
300
1,000
UKIONA NCHI YOYOTE WANANCHI WAKE WANABETI KWA WINGI UJUE HAWANA MATUMAINI YA MAISHA YA KILA SIKU. JUZI NIMETEMBELEA KATIKA MASHINE ZA KUBETIA KUMI NA TANO ZOTE ZILIKUWA ZIMEJAA WATEJA KUANZIA WATOTO WA MIAKA 12 HADI WAZEE NILIPOWAULIZA KULIKONI KILA MTU ALINIELEZA KUWA KULALA NA MKEKA HUONDOA SHINIKIZO LA DAMU KUTOKANA NA UKATA. HAPO NIKATAMBUA KUWA KWELI SASA NCHI IMEINGIA KATIKA MTIKISIKO WA UCHUMI AMBAO HAUJAWAHI TOKEA.
 
retweeted

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,254
2,000
kwani wew ulivyo kuwa mdogo hujacheza kamali mana kamali ya siku hizi nikubet tu hapana tena vitiisi km enzi zetu
 
Denis denny

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
5,788
2,000
Vijana wa manzese wameacha kula unga sasa wanakula betting ukiwaona na makaratasi kama wamewehuka hivi
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
7,818
2,000
Kwani kazi gani zilikuwepo ila zikatoweka halafu ikabak betting?
Je, kubeti ( kwa mechi) kulikuwepo toka zaman au kumeibuka hivi karibuni tu na kuvutia watu wengi?

Your premise is wrong!!
 
Joblee

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
1,454
2,000
UKIONA NCHI YOYOTE WANANCHI WAKE WANABETI KWA WINGI UJUE HAWANA MATUMAINI YA MAISHA YA KILA SIKU. JUZI NIMETEMBELEA KATIKA MASHINE ZA KUBETIA KUMI NA TANO ZOTE ZILIKUWA ZIMEJAA WATEJA KUANZIA WATOTO WA MIAKA 12 HADI WAZEE NILIPOWAULIZA KULIKONI KILA MTU ALINIELEZA KUWA KULALA NA MKEKA HUONDOA SHINIKIZO LA DAMU KUTOKANA NA UKATA. HAPO NIKATAMBUA KUWA KWELI SASA NCHI IMEINGIA KATIKA MTIKISIKO WA UCHUMI AMBAO HAUJAWAHI TOKEA.
Watoto wa miaka kumi na mbili..? Mkuu sheria za betting ni over 18 hao watoto uliwauliza umri?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom