Kubenea wa MwanaHalisi yupo London kwa matibabu

Get well soon brother urudi nyumbani kuendeleza ukombozi wa ardhi hii. God bless you Saed Kubenea
 
a mwenyezi mungu akujalie uzima na urejee kwa amani ili mapambano dhidi ya madhila yanayoisumbua nchi hii yaondoke kabisa
 
Na mwenyezi mungu akujalie uzima na urejee kwa amani ili mapambano dhidi ya madhila yanayoisumbua nchi hii yaondoke kabisa
 
Kimbunga na wengine,

Nimeongea na Kubenea dakika tano zilizopita. Facts: Kubenea yuko London kwa matibabu ya kawaida ya macho.

Maggid,

Asante Maggid kwa taarifa yaani damu ilianza kubadli mzunguko maana mafisadi na hizi polonium zao tunaishi kwa hofu sana
 
Get well or Rest in Peace! Historia ya huyu ndugu imegubikwa na unafiki! Yuko radhi kumtumikia yeyote mwenye pesa na kumsaliti yeyote!

mkuu hakuna binadam aliekamilika....sababu tukisema tumbee binadamu wote waliofanya makosa wafe sidhani kama na wewe utasalimika.!
 
Back
Top Bottom