Kubenea kwanini unawapotosha Mameya Dar?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Amani iwe kwenu.

Katika siku za karibuni mmbunge wa Ubungo Saed Kubenea amekuwa akiwapa nyaraka zisizo na ushahidi Baadhi ya Mameya hapa Dar katika kampeni yake ya kuibua uozo.

Nilitaka tu niwakumbushe Mameya taarifa zozote zisizo na ushahidi zenye nia ya propaganda huwa na ukomo na baada ya hapo mtabaki mmedharaulika.

1.Alimpotosha Meya Jacob wa Kinondoni kuhusu kodi za mabango na bila kujiridhisha Jacob kaingia kichwa kichwa kufuatilia kodi kwenye mabango yaliyo kwenye road reserve ambayo kimsingi yanatakiwa kuondolewa.Alikuja natakwimu za mabilioni ya ushuru...,mwishowe kimyaaa na hajatuletea mrejesho kwa aibu.Kumbukeni mmewaaminisha wananchi propaganda...na ipo siku mtalipia gharama yake.

2.Kwa siku za karibuni amemwondoa meya wa jiji Bw.Isaya kuhudumia wananchi badala yake anamdanganya auwe "simba aliyekufa"(UDA)...huu ni mtego mzito na unapoteza muda....wananchi wanawasubiri muwape majibu kwa sababu mliita media na kutowa mazito....mmeshakaa vikao kujadili lakini kimya...na muda si mrefu ...mtapoteza nalo mvuto.

Nimewaonya mchuje mambo sababu huyu kubenea ana tabia ya kuyakana maneno na maandishi yake.Alinusurika kuuwawa na watu ambao sasa anawasifia,Alikuwa na vielelezo vyote kuthibitisha Lowassa ndiye Richmond.Ila kwa vipande vichache vya pesa kageuka bila haya anaupuuza ukweli.Nawashauri fanyeni kazi na watu wenye weledi.Leo hii kwa njaa za kubenea..Mnyika hana la kuongea kwa kusutwa na nafsi.

Nawaomba msimamie mali za umma ila msimshirikishe Kubenea atawapotosha na anatafuta ukweli wa mambo kuuza kwa mafisadi.Miradi mingi ya Dar kuna mkono wa TeamLuwasa walioko CCM na Huko chadema...na hapa ndipo kubenea anapotaka kutengeneza fedha toka kwa mafisadi hao.
 
Mbona unaandaka mabaya tu VIP hakuna Jambo zuri Hata mmoja alilowai kufanya
 
Wewe tulishakwambia kuwa huna uwezo wa kujenga hoja bado husikii,wewe kazi yako ni kutega mapanya na kupika upupu kwenu mbekenyera, mambo ya kisomi waachie wenye uwezo nayo!
 
Ushahidi uko wapi, Tangu Kubenea amlambe miguu Lowassa, hana jipya tena.
Watu wamejigeuza mayaya kwa kuwabeba watoto wa wakubwa na sasa malipo yao ni kupewa kipande cha nchi kukiongoza,mbona hauwasemi au huwajui?
 
Back
Top Bottom