Kubenea kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA

Huyu mtu alikuwa anasema eti mwandishi huru kumbe ni chadema siku zote ndiyo maana uandishi wake ulikuwa wa kizandiki na uchochezi siku zote.

Ukiwa mwandishi huru huwezi kwenda ccm ukapokelewa wewe ni adui wao. Chadema ni chama huru maskini na matajiri wanajiunga, amejipima akaona ni vyema akajiunga Chadema chama kubwa! Ili akafumue ufisadi wenu wa mafuta na gesi bungeni.
 
Mkuu kubenea anaongozwa kwanza na uelewa wake binafsi anao wa kutosha na pia cdm wapo naye karibu kwenye mapambano,si unajua vita ni vita

Ni wanasiasa wachache hawabadiliki kama mnyika na tundu, ila huyo kubenea tutamuona tu maana nyendo zake zilikuwa zinaonesha ananyemelea ubunge.
 
Hakika intelijensia ya chadema haina mfano wake!! Yaani watu wamecheza bonge la drafti. Hapa Mnyaa pale Kubenea!! Dah! Sio mchezo!!

Hiyo ndiyo Chadema chama kubwa! Kubenea ndani ya ubungo patachimbika. Nimepongeza sana uwamuzi wake watu kama hawa wajitokeze wengi tu taifa linawahitaji sana.
 
Namkubali Kubenea..Lakini aache chuki za Ki CHADEMA..Nilimfatilia kipindi Fulani alikuwa anamsakama sana Zito Kabwa pasipo sababu za msingi, na Zito alipomjia live na kmtishia kumshitaki akakaa kimya milele...!
 
Ukiwa mwandishi huru huwezi kwenda ccm ukapokelewa wewe ni adui wao. Chadema ni chama huru maskini na matajiri wanajiunga, amejipima akaona ni vyema akajiunga Chadema chama kubwa! Ili akafumue ufisadi wenu wa mafuta na gesi bungeni.

Magamba sijui watajificha wapi mwaka huu,mjengoni moto utawaka
 
Hiyo ndiyo Chadema chama kubwa! Kubenea ndani ya ubungo patachimbika. Nimepongeza sana uwamuzi wake watu kama hawa wajitokeze wengi tu taifa linawahitaji sana.

Hiyo kitu ndio inawafanya viongozi wa ccm waendelee kuiogopa cdm,maana ukimya na umakini wao ndio matunda tunayo yaona sasa,hawakurupuki kama nape
 
Hiyo kitu ndio inawafanya viongozi wa ccm waendelee kuiogopa cdm,maana ukimya na umakini wao ndio matunda tunayo yaona sasa,hawakurupuki kama nape

Naam!! Nimeamini Chadema ni mpango wa Mungu. Kubenea ubungo anasubiri kuapishwa tu.
 
Hiyo kitu ndio inawafanya viongozi wa ccm waendelee kuiogopa cdm,maana ukimya na umakini wao ndio matunda tunayo yaona sasa,hawakurupuki kama nape

Huko mwanza Chadema leo wanafanya yao, tutakuwa nao live au itakuwa kimyakimya?
 
Nawapigia salute cdm kwa kuwa na mikakati ya kisomi na hatari kwa uhai wa ccm na mawakala wao,kitendo cha said kubenea kwenda kugombea ubungo ni mbinu kali sana iliyotumiwana cdm ili kuhakikisha kuwa wanaongeza majimbo mkoani dsm,mnyika atagombea jimbo lolote jijini dsm na atapata kutokana na kujulikana kwa kazi yake, bungeni,the same tunduma na momba wamefanya hivyo.nawaombea kila la kheri

Very poor Analysis and strategy
1. Kubenea kasema hajaongea na Mnyika, vipi Mnyika akiamua kugombea ubungo, utakuja kukana ujinga wako hapa
2. Kwanin kubenea mwenye influence na resources asiende majimbo yenye ngome ya CCM?ili ayandoofishe na kuongeza majimbo ya upinzani?
3. Ni kushindwa mipango na sera ya pamoja inaonyesha wazi Chadema hawako sawa. Deo na Mtatiro wote ukonga na wote wakazidiwa ni aina nyingine ya kutokumanage na kuallocate resources, Chama kimetumia gharama kubwa kuwaandaa hawa vijana
4. Ben Saanane kwenda Rombo wakati akijua Selasini ananguvu ni sababu nyingine kunifanya niamini Chadema inakosa wataalam. Tena Ben anaandaa na maandamano wakati akijua yupo Mbunge wake pale
5. Tabita ya Kubweteka yaani Mshamuona Mnyika Nyerere? Eti anakubalika kokote, basi mpelekeni Mtwara tuone.
 
Mkuu hapo kwa Ben saanane naomba nisikuunge mkono Ben naamini alienda romba kupasha tu ni kijana makini naamini miaka ya baadaye atakuwa kwenye level nyingine kabisa selasini umri unaenda lazima vijana waandaliwe.
 
Mnyika kashatangaza kugombea jimbo la Kibamba. Juzi Team yake ilipita maeneo ya Mbezi kuwatangazia Wananchi hivyo.
 
kuna Uzi uliretwa hapa jukwaani kwamba kubenea anagombea jimbo LA ubungo kupitia chadema. kwa ushauri wangu ningependa amwachie kijana mnyika maana anakubarika sana na ni uwanja wa nyumbani. wadau nyie mnaonaje?
 
Demokrasia! Binafsi napenda kuwepo ushindani ili kusiwepo na kubweteka na kujiona mungu watu. Ushindi pia unaongeza kujiamini.
 
Back
Top Bottom