Wakuu nafikiri wengi mnaifahamu barabara hii ambayo imekuwa kero kwa abiria na madereva hasa kipindi hiki cha mvua.
Ubaya zaidi mabasi mengi yenye ruti za makumbusho -mbezi, kawe-mbezi, buguruni- makumbusho ni lazima wapite kituo hiki vinginevyo ni faini .
Lakini mbunge wa jimbo hili la Ubungo ni kama amesahau majukumu yake. Jitihada zimefanyika kumweleza lkn ni kama ameweka pamba masikioni akikazana kuandika habari za udaku kwenye gazeti lake.
Kubenea tunajuta kukupa ubunge katima jimbo letu.