Kubenea apandishwa Mahakamani leo

Kwa hiyo hawa viongozi jambo dogo kama hili wameshindwa kulimaliza nje ya mahakama halafu wanataka watatue mgogoro wa wafanyakazi na mwajiri!
 
Tatizo huyu dogo anadhani JPM anafurahia huu upuuzi wake.Kwa nini asijifunze kesi ambazo mara tu baada ya JPM kuingia madarakani serikali imeshindwa mahakamani ni kwa sababu gani. Rais hataki uonezi wowote sasa huyu DC lazima aliwe kichwa maana uwezo wake ni mudogo sana kufikiria ni wakati gani anatakiwa kufanya nini. Hii kesi ni ya kijinga sana lazima ifutwe mara moja.
 
Kwa hiyo hawa viongozi jambo dogo kama hili wameshindwa kulimaliza nje ya mahakama halafu wanataka watatue mgogoro wa wafanyakazi na mwajiri!

Umeongea kitu cha maana sana mkuu, hawa ndio viongozi wa Tanzania.
 
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea anafikishwa mahakamani Kisutu muda huu.
Huku ni kuiongezea mahakama mrundikano wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
Kwa mtindo huu lazima Makonda ajitafakari mara mbili mbili

=============



UPDATES;
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesomewa shitaka la lugha ya matusi kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda. Kesi imehairishwa mpaka Des 29, ameachiwa kwa dhamana.

He is still very new to leadership, kunauwezekano bado anaelements za ukiranja wa shule
 
Makonda aangalie, Kubenea yupo vizuri ooh! Na kama kweli wamepelekana mahakamani ningependa haki itendeke na mkosefu awajibike ikiwa ni pamoja na mahakama kutoa fudisho.
Mwongo na mzushi mkubwa huyu.
 
Safari hii tutaheshimiana Tu kwa sbb mlishaona hii nchi Ni yenu mnaweza kutukana mtakavyo na kufanya mpendavyo.
 
Safi sana Makonda weka ndani malofa kwa utovu wa nidhani wakitoka huko hawana malinda
 
Hii nchi full comedy.kila kitu siku hizi ni mwendo wa kustukiza,kuweka watumishi wa umma ndani,kufuta likizo na nk.
 
Magufuli anakaz ngumu sana, wilaya iliyopewa mtu kwa kujuana ilidhalilishwa, wanakinondoni wamedhalilishwa mienendo ya DC haiendani na mtu anaetakiwa.

mkoa wa kinondoni unahitaji Kiongozi wa hadhi ya waziri
 
Hey makondakta stairwell kino ndo ninaye kwa kutafuta na Jamba na ubebe namba hii. Namba anathema mud
 
Back
Top Bottom