Kubenea amerudi na gazeti la Mseto

Msulunje

Member
Oct 6, 2015
67
35
Baada ya siku kadhaa serikali kuamua kulifuta Gazeti la Mawio kubenea ameamua kulirudisha Gazeti la Mseto ambalo lilikuwa linaandika habari za Michezo sasa ameamua kuligeuza kuwa kama la Mawio Gazeti hilo ambalo limeanza kutoka rasmi jana.
 
Siku hizi nasoma Raia mwema kila jumatano, Jamhuri kila jumanne ( tunaanzia walipoishia wengine)
 
Muswada wa sheria unaandaliwa kwa wasiosomea uandishi kukiona cha moto wakijifanya waandishi wa habari.
 
mswada wa kiboyo,kwa hiyo ambao hawana degree waende wapi,wangeanzia bungeni kuwatoa walio ishia std 7 na wanatunga sheria
 
Baada ya siku kadhaa serikali kuamua kulifuta Gazeti la Mawio kubenea ameamua kulirudisha Gazeti la Mseto ambalo lilikuwa linaandika habari za Michezo sasa ameamua kuligeuza kuwa kama la Mawio Gazeti hilo ambalo limeanza kutoka rasmi jana.
Linatoka siku ipi au ni kila siku?
 
ahsante kwa taarifa, kwanza nataka kujua, inakuwaje gazeti la michezo likabadilishwa likawa la habari mchanganyiko? au hakuna kipengere kwenye usajili cha categories.. nafikri Nape atakuwa kaona thread yako
 
Kubadilisha gazeti la michezo kuwa Habari mchanganyiko inawezekana usishangae siku mmoja magazeti ya Global yakaacha kuandika umbea
 
Back
Top Bottom