Kubenea afuta kusudio la kumshitaki Makonda na DPP

Aibu kubwa sana kwa wanafiki na wasaliti Chadema wameanzisha kijigazeti uchwara kinaitwa raia mwema ambako kila siku kichwa cha habari ni Makonda na Sabaya.

Acheni hizo biashara ya madawa ya kulevya itawalaani vizazi vyenu hapo ufipa.
Lakini wewe kada umeelewa contents za mashitaka hayo?

Imeelezwa kuwa wamefuta mashitaka hayo ili kufanya marekebisho madogo madogo na kesi hiyo itaendelea kuunguruma.

Sasa unaposema aibu kubwa wameipata waliomfungulia mashitaka Makonda ni kwa vipi aibu hiyo wameipata??
 
Raia mwema limeanzishwa lini??
Aibu kubwa sana kwa wanafiki na wasaliti Chadema wameanzisha kijigazeti uchwara kinaitwa raia mwema ambako kila siku kichwa cha habari ni Makonda na Sabaya.

Acheni hizo biashara ya madawa ya kulevya itawalaani vizazi vyenu hapo ufipa.
 
Laana utawatafuna kubenea na watu waliomtuma kulipiza kusasi kupitia mgongo wake, ikumbukwe kwamba hao wanaomtuma na wao hawatokaa madarakani siku zote na hao wahuni wanajulikana;kama tanzania tumefikia hatua hiyo kila kiongozi akipata nafasi ya juu atakuwa analipiza visasi kupitia migongo ya watu kama kubenea marope na nape achen tabia hiyo hii nchi siyo ya kwenu mtakuja kujuta maishani mwenu hayo mnayoyafanya yanajulikana na wengi wabayajuwa mimi nimewaletea ujumbe
Ila mkuu, hivi sie wasukuma tutakikamata kile kiti tena kweli?
 
Aibu kubwa sana kwa wanafiki na wasaliti Chadema wameanzisha kijigazeti uchwara kinaitwa raia mwema ambako kila siku kichwa cha habari ni Makonda na Sabaya.

Acheni hizo biashara ya madawa ya kulevya itawalaani vizazi vyenu hapo ufipa.
Tuambie je, Kila panapo fuka Moshi panavutwa yale majani?
 
Laana utawatafuna kubenea na watu waliomtuma kulipiza kusasi kupitia mgongo wake, ikumbukwe kwamba hao wanaomtuma na wao hawatokaa madarakani siku zote na hao wahuni wanajulikana;kama tanzania tumefikia hatua hiyo kila kiongozi akipata nafasi ya juu atakuwa analipiza visasi kupitia migongo ya watu kama kubenea marope na nape achen tabia hiyo hii nchi siyo ya kwenu mtakuja kujuta maishani mwenu hayo mnayoyafanya yanajulikana na wengi wabayajuwa mimi nimewaletea ujumbe
Wacha woga, lazima ganzi zipate meno ya waliokula zabibu mbichi
 
Laana utawatafuna kubenea na watu waliomtuma kulipiza kusasi kupitia mgongo wake, ikumbukwe kwamba hao wanaomtuma na wao hawatokaa madarakani siku zote na hao wahuni wanajulikana;kama tanzania tumefikia hatua hiyo kila kiongozi akipata nafasi ya juu atakuwa analipiza visasi kupitia migongo ya watu kama kubenea marope na nape achen tabia hiyo hii nchi siyo ya kwenu mtakuja kujuta maishani mwenu hayo mnayoyafanya yanajulikana na wengi wabayajuwa mimi nimewaletea ujumbe
Pole sana, hawa watu hawana huruma na wajane na yatima!
 
Usikute waliandika Paul makonda,afu cheti Cha kliniki Cha jamaa kinasoma Albert bashite
 
Aibu kubwa sana kwa wanafiki na wasaliti Chadema wameanzisha kijigazeti uchwara kinaitwa raia mwema ambako kila siku kichwa cha habari ni Makonda na Sabaya.

Acheni hizo biashara ya madawa ya kulevya itawalaani vizazi vyenu hapo ufipa.
Umesoma andiko ?
 
03 December 2021
Mahakama ya Hakimu Mkazi,
Wilaya ya Kinondoni
Dar es Salaam, Tanzania

HAKIMU AWATAKA WALALAMIKAJI WABORESHE MASHTAKA DHIDI YA KESI INAYOMKABILI PAUL MAKONDA

Ndipo upande wa walalamikaji wakaiondoa kesi mahakamani ili kwenda wajipange vizuri na kuja tena kufungua mashtaka yatakayoweza kusikilizwa

vizuri na kuondoa nafasi za pingamizi za kisheria zinazoweza kuwekewa ktk hatua za mwanzo kabisa na kufanya haki isiweze kupatikana kwa pande zote zinazohusika na kesi hii.

Source : Mubashara Studio
 
Mahakama ya Hakimu mkazi Kinondoni imeridhia ombi la mawakili wa Mwandishi wa Habari, Said Kubenea la kuondoa maombi ya kuwashtaki Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaama, Paul Makonda.

Hatua hiyo imejiri leo Ijumaa, Desemba 3, 2021 mahakamani hapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Aron Lyamua ambapo upande wa mleta maombi, Said Kubenea mawakili wake, Hekema Mwasipo umedai kuwa wamefikia hatua hiyo kutokana na kasoro mbalimbali zilizojitokeza katika maombi ya kufungua kesi hiyo na kwamba wanakusudia kuongeza mashtaka ambayo awali hayakuwepo kwenye maombi hayo.

Miongoni mwa kasoro zilizojitokeza ni uandishi wa majina ya mpelekewa maombi na ya aliyeapa ambayo yapo tofauati jambo ambalo wanahofia kuwa yanatakiwa kufafana. Wamedai kuwa wanakusudia kuwashtaki wa watu hao kutokana na madai ya kushindwa kutimiza vyema wajibu wao.

Baada ya maombi hayo wakili wa serikali, Daisy Makakala amekubaliana na ombi la mawakili wa Kubenea bila pingamizi. Hata Hivyo Mawakili wa Kubenea tayari wamewasilisha maombi mengine ambayo yamefanyiwa marekebisho ambayo awali kulikuwa na mapungufu.

Kinachosubiriwa sasa ni mahakama kupanga tarehe ya kusikiliza kesi hiyo pamoja na kuweka wazi namba ya kesi na aina ya mashtaka yanayowakabili.
Kwenye kasoro za.majina I.was right, Kuna pahala nilisema humu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wenzetu Ulaya wanafanyaje kumaliza kesi zao kwa staili hii. Hii kumbe kule haki inanunulika?
====
 
Back
Top Bottom