Kubemenda ni nini?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,647
Wana JF.

Kuna rafiki yangu ana mtoto mchanga, amekuja nimpatie ushauri na maelezo juu ya swala zima la kubemenda (Sina hakika kama ni neno rasmi).
Hasa ningependa kujua 'mechanism' na njia zinazosababisha jambo hili.
Je, kutoka nje ya ndoa ndio sababu ya jambo hili?
Wengine wanasema ukitoka kufanya mapenzi na mpenzi mwingine kisha ukaja ukambeba mtoto wako (anae nyoya) basi tayari unamsababishia tatizo hili.
Naomba msaada wenu wana JF
ili nipate cha kumweleza swahiba wangu.
 
Nasikia ni kumuharibu mtoto mdogo kama ananyonya harafu mwanamke anakuwa sio mwaminifu katika mahusioni..sijui ni wote Mke/mme au Mke
wajuzi watatuhabarisha !
 
Nasikia ni kumuharibu mtoto mdogo kama ananyonya harafu mwanamke anakuwa sio mwaminifu katika mahusioni..sijui ni wote Mke/mme au Mke
wajuzi watatuhabarisha !

Wanasema ni wote inabidi muwe waaminifu, maana inasemekana hata baba akitoka nje ya ndoa then akaja kumshika mtoto kabla hajaoga tatizo hilo pia litatokea. sijui sayansi yake hapo imekaa vipi, labda madakitari watatuambia
 
Ninavyoelewa mimi, kumbemenda mtoto ni kudhoofu afya yake kutokana na kunyonya maziwa machafu. Mama akishakuwa mjamzito maziwa yake huwa yanabadilika na hivyo huwa si salama kwa mtoto.
Mtoto anahitaji uangalizi wa khali ya juu ktk usafi. Hivyo mkono wowote unaomshika lazima uwe msafi hata kama hukutembea nje ya ndoa. Jasho, na vitu vingine vichafu huathiri afya ya mtoto... sharti kuoga kabla ya kumshika, vinginevyo UTAMBEMENDA.
 
unajua sisi watu wa zamani tulikuwa tunalea kikwelikweli mama akijifungua wanatengana mahusiano ya kimapenzi na baba mpaka miaka miwili au zaidi mtoto akue aache ziwa kabisa,baba alikuwa anavumilia wala hatembei nje muda wote huo ndiyo maana tulikuwa na afya za kweli siyo sasa mama hata nyuzi hazijapona vizuri anaanza kisa anshindana na baba mtambemenda mtoto hapo mwisho atakuwa fundi viatu na maneno mengi urefu futi tatu na nusu
 
Teheehee tehe
Wanaume mmesoma hapo!
 
Nasikia ni kumuharibu mtoto mdogo kama ananyonya harafu mwanamke anakuwa sio mwaminifu katika mahusioni..sijui ni wote Mke/mme au Mke
wajuzi watatuhabarisha !
kwahiyo mke na mume wakilibeneka wao kwa wao haina shida eeh?
 
Aliniaambia babu...
Mbegu za mwanaume zinakuja na vitu vingi ikiwemo sumu yakulegeza viungo kwa ajili ya kumuandaa mhususika katika uzazi.

Sumu hyo inamuathiri yoyote yule atakaegusa au kuinusa.

Mifano yake sasa...!
Wapiga Nyeto, Machoko, Wasiopenda kujisafisha Baada ya Ngono Na Watoto Kubemendwa.!!

Anadai...
Wote hao Hulemaa baadhi ya viungo hasa akili. Na athar inaonekana zaidi kwa watoto kutokana na uteke ma viungo vyao..

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom