komeka JF-Expert Member May 1, 2013 1,072 401 Dec 9, 2013 #1 wakuu naskia korea kusini kuna fursa kibao za kupata ajira kwa yoyote mwenye data za kutosha khs hii nchi atupe details za kutosha
wakuu naskia korea kusini kuna fursa kibao za kupata ajira kwa yoyote mwenye data za kutosha khs hii nchi atupe details za kutosha
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Dec 9, 2013 #2 Ndio zipo nyingi sana. wamalawi, kenya na Uganda ndio wanaotumia hizo Tena ajira za uko haziitaji elimu ni kujua english tu
Ndio zipo nyingi sana. wamalawi, kenya na Uganda ndio wanaotumia hizo Tena ajira za uko haziitaji elimu ni kujua english tu
M Misa JF-Expert Member Jul 5, 2013 838 135 Dec 9, 2013 #3 Masikini nchi yetu inakimbiwa na vijana wake,kweli CCM sijui wana sera gani
Threesixteen Himself JF-Expert Member Feb 12, 2013 8,223 7,993 Dec 9, 2013 #4 ! ! zinapatikanaje!?....hata kuzibua mitaro tu poa mradi hela
komeka JF-Expert Member May 1, 2013 1,072 401 Dec 9, 2013 Thread starter #5 mkuu MONEYstunna heb tupe details za kutosha km unazo especially khs gharama za maisha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
charty JF-Expert Member Oct 28, 2013 7,460 5,975 Dec 9, 2013 #7 Maana ya kubeba Box ni nini jamen??ni kama kubeba rumbesa la viaz kariakoo ama nn?wakuu!
komeka JF-Expert Member May 1, 2013 1,072 401 Dec 9, 2013 Thread starter #9 bulola said: Masikini nchi yetu inakimbiwa na vijana wake,kweli CCM sijui wana sera gani Click to expand... mkuu bulola hatuikimbii nchi yetu tunaenda kusaka exposure na mitaji .....tukikamilisha hyo mission tunakuja kuwekeza nyumban Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
bulola said: Masikini nchi yetu inakimbiwa na vijana wake,kweli CCM sijui wana sera gani Click to expand... mkuu bulola hatuikimbii nchi yetu tunaenda kusaka exposure na mitaji .....tukikamilisha hyo mission tunakuja kuwekeza nyumban
komeka JF-Expert Member May 1, 2013 1,072 401 Dec 9, 2013 Thread starter #10 NDEO said: Wabongo wapo kibao wanabeba box huko korea Click to expand... mkuu@ndeo niunganishe na mmojawapo km una connection
NDEO said: Wabongo wapo kibao wanabeba box huko korea Click to expand... mkuu@ndeo niunganishe na mmojawapo km una connection
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,837 Dec 9, 2013 #11 charty said: Maana ya kubeba Box ni nini jamen??ni kama kubeba rumbesa la viaz kariakoo ama nn?wakuu! Click to expand... Hata kulea na kuogesha vibibi vizee pia ajira hiyo ipo nje nje!
charty said: Maana ya kubeba Box ni nini jamen??ni kama kubeba rumbesa la viaz kariakoo ama nn?wakuu! Click to expand... Hata kulea na kuogesha vibibi vizee pia ajira hiyo ipo nje nje!
komeka JF-Expert Member May 1, 2013 1,072 401 Dec 9, 2013 Thread starter #12 wakuu ningefurah km ningepata mtu ambaye yupo eneo la tukio yaan korea ningefurah sna........any person pliiiiz
wakuu ningefurah km ningepata mtu ambaye yupo eneo la tukio yaan korea ningefurah sna........any person pliiiiz
Msingida JF-Expert Member Dec 1, 2010 9,722 10,801 Dec 9, 2013 #13 Threesixteen Himself said: ! ! zinapatikanaje!?....hata kuzibua mitaro tu poa mradi hela Click to expand... Tanzania baada ya miaka 52 ya uhuru! AJABU
Threesixteen Himself said: ! ! zinapatikanaje!?....hata kuzibua mitaro tu poa mradi hela Click to expand... Tanzania baada ya miaka 52 ya uhuru! AJABU