kubeba box korea

komeka

JF-Expert Member
May 1, 2013
1,072
401
wakuu naskia korea kusini kuna fursa kibao za kupata ajira kwa yoyote mwenye data za kutosha khs hii nchi atupe details za kutosha
 
Masikini nchi yetu inakimbiwa na vijana wake,kweli CCM sijui wana sera gani
 
mkuu MONEYstunna heb tupe details za kutosha km unazo especially khs gharama za maisha
 
Last edited by a moderator:
Maana ya kubeba Box ni nini jamen??ni kama kubeba rumbesa la viaz kariakoo ama nn?wakuu!
 
Masikini nchi yetu inakimbiwa na vijana wake,kweli CCM sijui wana sera gani

mkuu bulola hatuikimbii nchi yetu tunaenda kusaka exposure na mitaji .....tukikamilisha hyo mission tunakuja kuwekeza nyumban
 
Last edited by a moderator:
wakuu ningefurah km ningepata mtu ambaye yupo eneo la tukio yaan korea ningefurah sna........any person pliiiiz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom