Kubambwa

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,471
Umeshawahi kuwa katikati ya gemu afu kumbe mlisahau kufunga mlango ukabambwa?
 
ahh i hatari
na vya fasta fasta kiaina i ata mlango kukumbuka inakuwaq ngumu
jamaa wanakaa mlango wanaswachabo mpk bas then mwshooooooo ndo anajitokeza wakat uo anakuwa asharekod mkanda mzima.....tamu kweli kweli!
 
haijawahi kunitokea maana naona ni kama vile mwili wooooote uta-freeze
 
ahh i hatari
na vya fasta fasta kiaina i ata mlango kukumbuka inakuwaq ngumu
jamaa wanakaa mlango wanaswachabo mpk bas then mwshooooooo ndo anajitokeza wakat uo anakuwa asharekod mkanda mzima.....tamu kweli kweli!

Roziiiiiiiii
 
mimi nilishawahi kupigwa chabo,natoka geto wakaanza kunisimulia kila kitu mpaka cha yule msichana,nilivyouliza nani na nani walinipiga chabo!! walivyonipa list sikuamini kabisa kuna watu wengine nilikuwa nawaheshimu sana,ila nilijitahidi wajue kama nimewajua kama walinipiga chabo ili wasirudie tena..
 
bahati mbaya sana nimeshapigwa chabo mara 2; mmoja na watu wangu wa karibu bila hata mimi kujua! ya pili na watu nisiowafahamu na watoto wa street hukooo kiwalani!
 
Roze unakumbuka tushabambwa wote kwenye gari??? kumbuka acha kujifanya hunijui.
 
Nimeshawahi kubambwa na hse mate wangu wakati huo bado sijaolewa, hakujua kama nilikuwa na mtu chumbani akafungua mlango bila kugonga, nadhani yeye ndiye aliona aibu kuliko sisi alikimbia hata hakulala pale siku hiyo. mpaka sasa nahisi bado hayuko free akituona pamoja.
 
Back
Top Bottom