Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Umeshawahi kuwa katikati ya gemu afu kumbe mlisahau kufunga mlango ukabambwa?
Dah hii kali, hebu tumwagie ilikuwaje...
ahh i hatari
na vya fasta fasta kiaina i ata mlango kukumbuka inakuwaq ngumu
jamaa wanakaa mlango wanaswachabo mpk bas then mwshooooooo ndo anajitokeza wakat uo anakuwa asharekod mkanda mzima.....tamu kweli kweli!