Elections 2010 Kubalini matokeo- ccm acheni unafiki.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
ccm acheni unafiki wa kumwambia slaa akubali tu matokeo wakati
huohuo mnashindwa kuwaambia wagombea wenu walioshindwa waache
kukimbilia mahakamani . Onyesheni nyie mfano kwanza kwa kuwapiga
stop wagombea wenu walioshindwa kukimbilia mahakamani kabla ya
kuwanyooshea wengine kidole.
ushauri : Slaa kama wakitaka ukubali matokeo basi wape sharti moja nalo ni ku drop kesi zao zote zilizo mahakamani dhidi ya mgombea
yeyote wa upinzani. Hawawezi kukuomba ukubali matokeo wakati wao
wanafungua kesi mahakamani kukataa matokeo. Huu ni unafiki.
 
Back
Top Bottom