Kubali au Kataa hili:-

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Mwanaume = mpini na
mwanamke = jembe kwa sababu
kawaida, namaanisha naturally 'mpini' huingia kwenye tundu la 'jembe'
 
Hapakua na haja ya kuweka descriptions , ulipotaja tu huyu MPINI na yule JEMBE tayari ilishaeleweka! Hayo ya hiki kinaingia kwenye kile hayakua na ulazima.
 
mmmmh inaonekana kwa kipindi hiki nilichokua off kuna majanga yametokea hapa jf chitchat eeeeh mana mara naona wengine wanaambiana wanakwepana, mara mwingine jembe mara mpin wat is happening hapa mbona majangaaa.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom