- Thread starter
- #81
Wapo wengi mkuu Wana makampuni yaNioneshe mtanza aliesoma akaelimika na kujua kingereza vizuri ambaye:
1.Anakampuni kama Alibaba na facebook.
2.Anakampuni ya kuunda injini za pikipiki kama fecon, San lg
3.Anakampuni ya kutengeneza vyombo vya nyumbani.
4.Ana kampuni ya kubadili pamba kuwa vitambaa.
5.Anakampuni ya kuzslisha kemikali mbalimbali.
6.Anakampuni ya kuzalisha vitabu na kuuzwa duniani kama pearson comp, Cambridge printing nk.
Hapo nimekutajia vitu vyepesi vyepesi vinavyohitaji elimu ndogo bado vile vizito kama Space station nk.
Ukunitajia Mtanzania mmoja basi nitakuunga mkoni kuwa TZ kuna watu wameelimika kutokana na kiingereza vinginevyo unatupotezea muda bure.
Watanzania wamehudhiria shule ila hawajaelimika, uthibitisho ni hizo point sita hapo juu, atakae weza kuzijibu basi ntamuunga mkono kuwa TZ wameelimika na kingereza ni jawabu la elimu.
- kusaga na kuuza nafaka
-kusindika matunda
-kusindika asali
--kusindika mafuta ya alizeti na mawese
-kutengeneza Pedi, n.k