Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 1,815
- 3,635
Habari zenu wakuu..!
Mimi nimenunua kiwanja lakini hicho kiwanja kina mambo ya mirathi..Lakini kila kitu tumeweka sawa mahakani.
Tatizo kubwa lipo kwenye kubadirisha jina kutoka kwa muuzaji kuja kwangu.Kiwanja nimenunua kwa Sh 4500000.
Afsa Ardhi ananiambia gharama za kubadilisha majina ni Sh 1540000.Kwa kuwa kuna karatasi 15 zinatakiwa ziwepo na kila karatasi ni Sh 80000 pamoja na gharama ya kubadilisha ndo inafika hiyo Sh 1540000.
Wakuu mwenye uelewa kuhusu hili jambo anisaidie kimawazo tu inatosha maana bado sijalipia hizo gharama.