Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

Kuna Tabibu daraja la II (Clinical Officer) anataka kuhama kutoka wilaya ya Rungwe (Mbeya) kwenda Mwanza,Geita au Mara kwenye wilaya yoyote. nifate PM nikuunganishe.
 
CLINICAL OFFICER II niko Musoma municipal(MARA) njoo Manispaa ya Musoma nije Mwanza Halmashauri yoyote(Magu,Sengerema,Ukerewe,Misugwi,Ilemela au Nyamagana)

0718090269
 
Habari wana JF, natafuta wakubadilishana vituo ya kazi wilaya yoyote mkoani Kilimanjaro Cheo RN nipo KONDOA MJI.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom