Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

jayec

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
599
477
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya aina hii.Uwe Mganga Mwandamizi, Mganga wa Kawaida, Afisa Tabibu, Muuguzi, Mkunga au Muhudumu wa Afya karibu kwenye uzi huu ukutane na wenzako wenye mahitaji kama ya kwako. Kwenye andiko lako ni vema ukasema ulipo, mkoa na wilaya ambako ungependa kwenda na mawasiliano yako. Tunashauri mtumie barua pepe au namba ya simu
KARIBUNI SANA WATUMISHI
 
Niko Tabora,Mfamasia aliye Mkoa wa Morogoro au Pwani awasiliane Nami kubadilishana,aweza kuja pm
 
Kuna muhudumu wa afya (M.A) anatafuta mtu wa kubadilishanaye kituo cha kazi, kwa sasa yeye yupo mkoa wa Mtwara na anatafuta mtu wa kutoka Tabora
 
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya aina hii.Uwe Mganga Mwandamizi, Mganga wa Kawaida, Afisa Tabibu, Muuguzi, Mkunga au Muhudumu wa Afya karibu kwenye uzi huu ukutane na wenzako wenye mahitaji kama ya kwako. Kwenye andiko lako ni vema ukasema ulipo, mkoa na wilaya ambako ungependa kwenda na mawasiliano yako. Tunashauri mtumie barua pepe au namba ya simu
KARIBUNI SANA WATUMISHI
Hiv EN na RN wanaweza kubadilishana
 
Mimi EN Natafuta Tempo Au Kazi Kabsa Maana Toka Nimemaliza Cjapata Kazi Najua Humu Wapo Wenye Data Nipo Dodoma Nimehitimu 2016 Ndanda School Of Nursing & Midwife
 
Natafuta mtaalam wa maabara aje kigoma DC mi niende Mpanda manispaa
Hivi kuhama bila kubadilishana haiwezekani? Maana kuna taasisi zinahitaji watu zina nafasi wazi kada za afya hasa Wauguzi, Wafamasia, na watu wa Maabara
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom