Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Kuna AF Kilimo yupo BUNDA anatafuta wa kubadilishana naye toka moro mjini au Mvomero mawasiliano yake 0752964233
 
Mimi ni afisa mifugo mkoa wa Njombe wilaya makete natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi kazi,
Nitafute 0769493096.

My priority MBEYA, ARUSHA, MANYARA, MOROGORO, IRINGA, PWANI.

NITAFUTE.
KWANN USITAFUTE MTU AMBAYE HAJAPATA AJIRA AMESOMA KADA YAKO AKUREPLACE
 
Muuguzi njoo hospitali ya mkoa wa manyara nije mko wa mwanza(magu) ilemela, Mara (butiama) Tarime
0712050508
 
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenyewe uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu.
Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.
Piga simu Na. 0717 26 33 77
 
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa kubadilishana nao kwenye nyuzi mbalimbali, tumeona ni vema kukawa na uzi mmoja ambao utawakutanisha wadau wote wenye mahitaji yanayofanana.

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, kuweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.
Mwalimu idara ya elimu msingi niko Bunda mjini nibadilishane na mtu aliyeko Dodoma
 
Back
Top Bottom