Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

mbona sijawahi kuona afande akitaka kubadilishana kituo na afande mwingine???
duuuuu...!!
 
Afisa KILIMO.... njoo Handeni Tanga nije kilolo, iringa v, mufindi, au njombe mjini .0656959432
 
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa kubadilishana nao kwenye nyuzi mbalimbali, tumeona ni vema kukawa na uzi mmoja ambao utawakutanisha wadau wote wenye mahitaji yanayofanana.

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, kuweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.
Ni PM PLZ NDG NAAMIN watanzania ni watu wa kusaidiana mkuu plz Ni Pm contact yako
 
Afisa Kilimo njoo wilaya ya karatu..
mimi niende wilaya ya Monduli,,
kwa atakaye hitaji ani PM wakuu..
 
Mm mwl natafta mwl idara ya secondar aje kagera kyerwa mm niende Njombe,iringa,mufind,makete,kilolo au mbeya.0762579731
 
Wanaohitaji nafasi za kazi ajira ya sekta binafsi, wanipigie CMU fasta
 
wakuu mi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, kituo cha kazi ni geita wilaya ya nyawhewale, nataka nihamie MOSHI, ARUSHA,
MANYARA.
 
Habari za majukumu,

Watanzania wezangu natafuta afisa kilimo aliyeko kati ya halmashauri za wilaya za GEITA, SENGEREMA, BUCHOSA KAMA yuko tayari ili tuweze kubadilishana naye kituo cha kazi yeye aje halmashauri ya wilaya ya BUKOBA.

Kwa aliyeko tayari ani PM
 
MIMI NI AFISA KILIMO HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI - TANGA, NAOMBA KUBADILISHANA NA MTU ALIYEKO KATIKA WILAYA ZA MUFINDI, KILOLO, IRINGA V, AU IRINGA MJINI. NATANGULIZA SHUKRANI KWENU.
 
Back
Top Bottom