Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Mimi ni Afisa kilimo nipo mkoa wa dodoma katka walaya ya kondoa naomb kubadilishana na mtu yeyote aliepo dar es salaam au morogor kama yupo ani PM au apge cm 0657313148
 
Mimi ni Afisa Mtenda Kata katika Halmashauri ya Mji Kibaha, natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka Halmashauri ya wilaya za Korogwe, Muheza au Gairo au Manispaa za Morogoro, Mbeya, Iringa
 
Mimi ni afisa kilimo wilaya ya kaliua tabora, namtafuta wa kubadilishana nae me niende Arusha, kilimanjaro, tanga, manyara a u morogoro
 
Jamani bado natafta afisa kilimo wa kubadirishana nae aje LUDEWA NJOMBE mi niende SONGWE, MBOZI, ILIJE KYELA, MBEYA VJJN, TUKUYU, MBALALI, MOMBA.
 
AFISA USTAWI WA JAMII:NATAFUTA MTU WA KUBADIRISHANA KITUO CHA KAZI. NIPO WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA NA NIPO TAYARI KUBADIRISHANA NA MTU KUTOKA DAR ES SALAAM, PWANI, MOROGORO, MBEYA, MBOZI NA RUNGWE.
UKIWA TAYARI TUWASILIANE @ lussadam@gmail.com
 
Mhandisi wa Kilimo RS aje mkoani Kigoma jamaa yangu aende Pwani,Dodoma,Dar RS Aliyetayari PM upate contact.
 
mimi ni mwalimu wa shule ya Sekondari iliyopo lushoto town centre, nataka kuhamia dsm kikazi, kwa yeyote aliyeko tayari kubadilishana na mimi katika kada ya ualimu basi ajibu uzi huu tutafutane au text kwenye namba hii 0625-866915
 
yaani mimi cjui ntaongea vibaya! maana naona watu wanakujibu ambavyo haipendezi jamani mtu ameomba kubadilishana kama tangazo halikuhusu au hauna njia ya kumsaidia mhusika kwanini umjibu aidha kwa kejeli au kwa kumkatisha tamaa? ushauri wangu wa bure, kama hayakuhusu achana nayo.
 
Mie Afisa mifugo Halmashauri ya Mji Tarime natafuta mtu yeyote aliyopo Mkoa wa Iringa,Njombe,na Mbeya call me through 0762940676
 
Rais JPM niite nikuambie nini niisaidie serikali hii ili tuweze peleka watanzania kanaani maana hapa kazi kwani na we mbiu uliitabiri ni ya kweli ya hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom