Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Mbilimbi Mbovu

Senior Member
May 25, 2015
185
119
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa kubadilishana nao kwenye nyuzi mbalimbali, tumeona ni vema kukawa na uzi mmoja ambao utawakutanisha wadau wote wenye mahitaji yanayofanana.

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, kuweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.
 
Mimi ni afisa mifugo mkoa wa Njombe wilaya makete natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi kazi,
Nitafute 0769493096.

My priority MBEYA, ARUSHA, MANYARA, MOROGORO, IRINGA, PWANI.

NITAFUTE.
 
Mimi ni afisa mifugo wa kijiji cha mtimbwani wilaya ya Mkinga na kijiji kipo kilomita 18 kutoka jiji la Tanga na huduma kama umeme na maji vinapatikana na nauli kutoka jiji la Tanga ni 1000/- tu.

Kama upo wilaya ya kibaha, Bagamoyo ama wilaya yoyote ndani ya mkoa wa dar es salam na unapenda kuhamia Tanga wasiliana nani kwakua nashindwa kuhamisha miradi yangu yote iliyoko Dar es salam na nimeona ni heri nijipange kusogea kikazi huko ili niendelee na usimamizi wa miradi yangu.

Iwapo upo tayari wasiliana nami kwa namba 0719507240. Ahsante.
 
Aisee kumchomoa mtu hapa mjini aende kijijini ni sawa na maji kupanda mlima.

Ni kweli ila pis Huku si kijijini sana lakini pia najua kibaha ama bagamoyo zipo sehemu bush sana hata huduma za shida sana.. mimi nakaa Tanga mjini asubui naingia job ni sawa na mtu anayekaa sinza kisha awe anafanya jazi mbezi mwisho ama kibamba. Ndio umbali wa kituo changu hadi katikati ya jiji la Tanga.. only 18km. Nauli buku.
 
Mimi ni afisa kilimo II WILAYA YA HANDENI ,TANGA,Nataka kubadilishana na mtu kutoka wilaya za kilolo, iringa mjini au iringa vijijini.kwa mawasiliano .0685786929
 
Wanaukumbi,

Natafuta anuani/njia za mawasiliano za afisa mifugo mkoani Kagera.
Ningependa kujua pia liseni, vibari vya biashara za kufuga samaki vinapatikanavipi.

Natanguliza shukrani.
 
Hivi kumbe hata kada nyingine serikalini mbali na ualimu ukitaka kuhama ni lazima umpate mtu wa kubadilishana nae??
 
maafisa vilimo maranyingi itakuwa hawapiti huku.

wapo bize kutoa handout kwa wakulima juu ya hali ya hewa na mazao yanayoweza kukubali kulingana na eneo husika
 
Mimi ni afisa kilimo II WILAYA YA HANDENI ,TANGA,Nataka kubadilishana na mtu kutoka wilaya za kilolo, iringa mjini au iringa vijijini.kwa mawasiliano .0685786929

Mimi ni Afisa mifugo nipo Njombe MAKETE.inawezekana kubadilishana?namba 0769493096
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom