Ruanda Ivimbizya
Member
- May 17, 2016
- 12
- 31
Nipo Mbeya nataka kwenda Iringa Kama upo Iringa unataka kuja Mbeya tuwasiliane
Mimi ni mtumishi wa kada ya medical attendant nimeajiriwa mkoa wa mbeya nataka kubadilishana na aliyopo Iringa wilaya yoyote au njombe mji na hata kuanzia makambako, mufindi na mafingaNipo Mbeya nataka kwenda Iringa Kama upo Iringa unataka kuja Mbeya tuwasiliane
Kasha ona fursa huko!Mbeya mbona kuzuri tu