Kubadilisha noti kutamsaidia sana Magufuli kwa sasa katika vita dhidi ya ufisadi

Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Kubwa la kujiuliza ni hili dada yangu: KWA NINI WATU WANAHOFADHI PESA KWENYE NDOO NA MAGODORO? Ukipata jibu, jiulize iwpo kuchapisha pesa mpya kutatatua tatizo hilo.
Kwa faida ya wengine, Wabongo wa sasa wana akili sana. Wanabadili shilingi kuwa Euro na dola ndipo wanazihifadhi katika magodoro, wanajua hamuaminiki, mnaweza kuchapa noti zingine. Wanajua hamna ubavu wa kuchapisha Euro na dola, sio zenu!
 
Tooo late... 😂😂😂 hela zipo S.Africa na Kenya


Watu wanafunga makampuni hewa hela zinakuwa zimetembea humo humo zinatolewa nje... Huwezi kushindana na mfanya biashara mwenye elimu ya darasa la saba ukamshinda😂😂
 
Sijaelewa vizuri apa

Hujaelewa nini hapa Mkubwa?

OK. Ngoja nikusaidie. Anasema, ili Magufuli awakomoe "walioficha fedha" badala ya kuziachilia kwenye mzunguko, achapishe MINOTI MIPYA mingine yenye umbo na sura nyingine tofauti na hizi zilizofichwa....!!

Baada ya hapo kila kitu kitakuwa kimetatuliwa i.e ukosefu wa ajira, hali ya uchumi kuwa njema, watu watakuwa na fedha za kutosha mifukoni nk no

Pls, haya sio mawazo yangu. Ni hisia za mleta mada. Mimi nimefafanua tu ili kujaribu kukufanya uelewe ujumbe aliokusudia mleta mada kuupeleka kwa wasomaji...

Sasa, kama umeelewa, unaweza kuanza kui - challenge hoja au mawazo yake haya butu...
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya umasikini na roho mbaya? Sijawahi ona masikini akamwombea mema tajiri.

Research yangu nimefanyia fb kwa kuangalia matajiri wakipost kitu chochote cha ushauri lazima wamkandie.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom