kubadilisha namba

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
hivi kama unamhisi au unajua kua mchumba wako anamatumizi mabaya ya simu yake,je kumbadilishia namba ni njia nzuri au?
 
Sa ukimbadilishia number si ndo atanza upya, na kwa speed mpya...bora muwachie tu ya zamani ili abaki na wale wa zamani.

Pole sana, wivu mbaya ujuwe :biggrin1:
 
Kama unahisi unadanganywa ni bora ukatafuta namna ya kutatua tatizo kuliko kubadilisha namba maana mara nyingi huwa haisaidii kwani katika mapenzi ambayo watu wanaiba namba huwekwa kichwani na si kwenye simu.
 
Hapana, sio sululisho, jaribu kumwambia ukweli kama unauhakika anacheza rafu kama anakupenda atakusikiliza. Kwa taarifa mwanamke huwezi kumchunga labda aamue mwenyewe kuheshimu mausiano yenu.
 
simu hizi bana...kweli mahusiano yataka moyo....bora niende zangu kona bar tuu
 
mbadilishie mpaka plate number ya gari kama unaweza....atakuwa muaminifu sana:madgrin:
 
Back
Top Bottom