Kubadilisha mfumo wa redio

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Habari zenu wakuu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi inawezekana kubadilisha mfumo wa redio? Kwa lugha nyepesi kuiongezea mfumo wa bluetooth na sehemu ya kuchomeka flash disc?

Ni redio moja kali sana ambayo ina mfumo wa cd. Redio hii ni panasonic yenye uwezo wa kuweka cd 60 kwa pamoja ndani yake. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, haina haja ya kuwa na redio yenye kubeba cd zote hizo wakati naweza kuwa na flash disc moja yenye uwezo wa kubeba nyimbo za dunia nzima.

Kama kuna mtu au kampuni ina huo uwezo, basi unaweza kunitonya. Location nipo Mbeya
 
Hatari sana. If you live in the past the future will never find you
 
Habari zenu wakuu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi inawezekana kubadilisha mfumo wa redio? Kwa lugha nyepesi kuiongezea mfumo wa bluetooth na sehemu ya kuchomeka flash disc?
Ni redio moja kali sana ambayo ina mfumo wa cd. Redio hii ni panasonic yenye uwezo wa kuweka cd 60 kwa pamoja ndani yake. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, haina haja ya kuwa na redio yenye kubeba cd zote hizo wakati naweza kuwa na flash disc moja yenye uwezo wa kubeba nyimbo za dunia nzima.

Kama kuna mtu au kampuni ina huo uwezo, basi unaweza kunitonya. Location nipo Mbeya
Kuna vi brutusi vianuzwa k.koo sh.10000 vina sehemu ya flash kwa fundi inawezekana anatoboa pale juu anakuunganishia unatumia flash
 
Nenda kwa fundi redio wa kisasa ataweza kukutengenezea
 
Back
Top Bottom