Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,923
Nimesikia kwamba, kutokana na matatizo ambayo yamejitokeza kwa gari aina ya RVR hasa zenye automatic transmition, watu wenye hizo gari wamebadilisha engine na gera box za gari hizo na kuweka za Toyota Corrola au RAV 4. Je kuna yeyote hapa jamvini ambaye ameshawahi kusikia au kufanya hivyo?