sagakuch
Member
- Apr 15, 2017
- 41
- 14
Samahani wakuu,, kuna mdogo wangu amechaguliwa kwenda form five kwa mchepuo wa HGK Ruvu girl's high School Lakini yeye anataman asome science mchepuo wa CBG na tayari ameishasoma tuition yamasomo hayo, je kunauwezekano akifika kule akaruhusiwa kubadilisha? Cbg ana CCD,,,nawasilisha wakuu