Kubadili engine ya harrier 3.0 four

Mzeee 5S inashida gani bila mfumo wa VVTi, nielezee kidogo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
VVTi ni valve janja, zinafanya kazi ya ziada km kuzuia mafuta yasiende wakati hayahitajiki katika kusukuma gari, uvutaji wa mvuke wa petrol na utoaji wa muunguzo unaotoka kwenye tundu la piston mwanzo zilikuwa valve 2 tu inlet na outlet sasa VVTi wanaweka mpaka 5
(VVTi Variebly Valve Timing intellgent)
1070660
1070688
Injini ya 5s
sasa tofauti ya injini ya 5s ni kuwa ukaaji wake na baadhi ya vitu vya zamani (hiyo injini ya 1MZ) ilikuwa na vifaa vingi itakugharimu rudishia tu injini nyingine kama ya awali zipo pale Ilala DSM
 
Weka 2AZ FE, cc 2360 utasahau suala la fuel consumption mbaya....Tafuta used ya nje sio ya hapa bongo.
2AZ- FE pale Ilala ni bei gani?
Ila kiukweli ni bonge la Engine. 5S ni Engine mzuri,kubwa kidogo ya 3S ya RAV4 Old model,isipokua haina VVTi,hivyo power ya gari hutegemea zaidi unavyokanyaga mafuta mengi,hivyo kukosa urafiki wa ulaji wa mafuta,wakati VVTi kuna msaada wa mafuta na mifumo ya umeme(literally kwa mtaani tunasema hivyo,though ni mambo mchanganyiko kidogo)!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VVTi ni valve janja, zinafanya kazi ya ziada km kuzuia mafuta yasiende wakati hayahitajiki katika kusukuma gari, uvutaji wa mvuke wa petrol na utoaji wa muunguzo unaotoka kwenye tundu la piston mwanzo zilikuwa valve 2 tu inlet na outlet sasa VVTi wanaweka mpaka 5
(VVTi Variebly Valve Timing intellgent)
View attachment 1070660 View attachment 1070688 Injini ya 5s
sasa tofauti ya injini ya 5s ni kuwa ukaaji wake na baadhi ya vitu vya zamani (hiyo injini ya 1MZ) ilikuwa na vifaa vingi itakugharimu rudishia tu injini nyingine kama ya awali zipo pale Ilala DSM
Umemaliza kila kitu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
we jamaa JF mmezidi uongo sasa khaah....et at least engine ya 6km/l iv uko serious wewe......kwa uzoefu wangu katika magari gari ya 6km/l inaohopeka sana coz fuel consumption inaonekana juu asa we umekosa vya kutudanganya ndo utuambie kuwa una 2.5km/l kadanganye watoto wa vidudu uko
 
Nia yangu si kufanya malumbano na wewe, haunijui na sikujui pia hivyo sina sababu yoyote kukudanganya na haininufaishi chochote. Wenye mawazo ya kujenga wamenipa na imesaidia, gari ilikuwa na faults. SIjui wewe reference yako ni gari gani lakini kwa ukubwa wa bodi ya Harrier na kama bado unahitaji iperfom barabarani hatutegemei ifungwe engine ya vitz. Labda kwa huo unaouita uzoefu wako nisadie kujua engine ya harrier inayokula mafuta ya chini kabisa ni ipi (model) na consumption rate ni ngapi hilo litanisaidia sehemu. ASANTE
 
we jamaa JF mmezidi uongo sasa khaah....et at least engine ya 6km/l iv uko serious wewe......kwa uzoefu wangu katika magari gari ya 6km/l inaohopeka sana coz fuel consumption inaonekana juu asa we umekosa vya kutudanganya ndo utuambie kuwa una 2.5km/l kadanganye watoto wa vidudu uko
Mkuu,kwa ukubwa wa Engine ya Harrier, hasa hiyo ya mleta mada ambayo ni Six Cylinder(Engine ya Harrier 1MZ cc 2990) kilometa 6 ni sawa kabisa kwa mafoleni ya mjini,kutegemea na hali ya gari(plugs,services,nozzles et al). Kwa Engine ndogo yaani 5S(cc2160) au 2AZ(cc2362 VVTi) unaweza kupata kilometa 7 au 8 kwa lita kwenye foleni.
Ila ukiwa highway,gari zote hizo hufika kilometa 11 kwa lita
 
Me yangu 5S ambayo ni cc 2160, ulichosema hapa ni 100% true, na naona halina shida,
Mkuu,kwa ukubwa wa Engine ya Harrier, hasa hiyo ya mleta mada ambayo ni Six Cylinder(Engine ya Harrier 1MZ cc 2990) kilometa 6 ni sawa kabisa kwa mafoleni ya mjini,kutegemea na hali ya gari(plugs,services,nozzles et al). Kwa Engine ndogo yaani 5S(cc2160) au 2AZ(cc2362 VVTi) unaweza kupata kilometa 7 au 8 kwa lita kwenye foleni.
Ila ukiwa highway,gari zote hizo hufika kilometa 11 kwa lita
 
Ebwana nimeona mahali hii gari inauzwa, nipe uzoefu wako ipoje ,changamoto zake n.k
kwa upande wangu ingawa hukuniuliza hii gari ni nzuri sana sana tu
tena Harrier Injini ndogo (sio 6, 3000cc) inahitaji matunzo na usizidishe mzigo km Noah
kwani inapakia watu wa5 tu kwa nafasi zilizomo ndani
inaviti popote km ukijipanga na gari ndogo (sedan /saloon) ipo ukija kwenye magari ya SUV km Prado cruiser nayo utaikuwa
kwenye mwendo katika lami ukiipeleka off road makorongo mitoni milimani inafit kwani ipo juujuu
zipo maa nyingi zinazoisifia hii gari humu JF pekuapekua utaipata
 
kwa upande wangu ingawa hukuniuliza hii gari ni nzuri sana sana tu
tena Harrier Injini ndogo (sio 6, 3000cc) inahitaji matunzo na usizidishe mzigo km Noah
kwani inapakia watu wa5 tu kwa nafasi zilizomo ndani
inaviti popote km ukijipanga na gari ndogo (sedan /saloon) ipo ukija kwenye magari ya SUV km Prado cruiser nayo utaikuwa
kwenye mwendo katika lami ukiipeleka off road makorondo mitoni milimani inafit kwani ipo juujuu
zipo maa nyingi zinazoisifia hii gari humu JF pekuapekua utaipata
Nimekupata vema mkuu ,thanks.
 
Nina wasiwasi kama hiyo injini inakaa kwenye harrier old model
Inakaa hasa ya mwaka 2001 na 2002. Kuanzia mwaka 2003 ikaanza toleo la awali la iitwayo kibongobongo NEW MODEL. Ingawa kwa sasa Harrier New Model ni Hybrid na iko tofauti kabisa na hizi tuziitazo New Model kibongobongo.
 
Mzeee,

What i can say it is a good car,

Halina shida ndogo ndogo,

just maintain good service na uendeshaji mzuri utalifurahia kwa mafuta na maintenance,

nasafiri nalo kila kona.

Ebwana nimeona mahali hii gari inauzwa, nipe uzoefu wako ipoje ,changamoto zake n.k
mzskks
 
Ulaji wa mafuta wa km 2.5 kwa lita ni sahihi kama gari hiyo imeendeshwa kwenye barabara mbaya ya vumbi yenye mashimo mashimo hivyo kutembea muda mwingi na gia namba 1. Mimi natumia kluger na ingine yake ni 1MZ FE - VVTI. Uzoefu huo ninao. Lakini nikiwa high way ulaji wa mafuta ni km 9-11 kwa lita. Mjini ni km 5-7 kwa lita na kwenye foleni ni km 3.5-5 kwa lita. Hiyo ingine haina shida kabisa.
Ila kama ulaji huo wa km 2.5 kwa lita ni kwenye high way, hapo hiyo ingine ina matatizo makubwa!!!!
 
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.

Kwa huo ulaji wa 2.5 kwa km lazima kutakuwa na tatizo.Mimi ninayo gari hiyo ya 1mz engine lkn nilibadilisha engine na kuweka 5s na huu nimwaka wa tatu gari iko vizuri na consumption ya mafuta ni nzuri kabisa.Kikubwa umpate fundi mzuri wa mechanic na wa wiring kwani mfumo mzima wa wire unabadilishwa kabisa pamoja na control box.Kitu kingine gear box inatumika ileile ila utabadilisha kuna kitu kinaitwa converter.Kingine ni engine mounting ya mbele utabadilisha.Body ya Harrier old model imetengenezwa kufiti engine za aina tatu yaani 1mz,2az na 5s. Unaweza kumtafuta Fundi (0768 926273) anaitwa Ibra yupo pale Ilala Shaurimoyo ndio bingwa wa kubadilisha hizo engine.
 
Hio engine pia inalalamikiwa bora 5s
Inalalamikiwa kwa ubovu au ulaji wa mafuta. Maana hiyo imefungwa kwenye RAV4 Miss Tanzania,Harrier Old Model ya mwaka 2000,2001 na 2002 na Harrier New Model(kwa Kitanzania ni kuanzia mwaka 2003 a.k.a tako la Nyani), imefungwa kwenye Alphard nk. Je hizo gari wanasema zina shida gani?
 
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Mkuu hakuna harriel inakula lita 1 kwa km 3 inayokula sana 3000cc huwa 6km. Angalia nozzle zitakuwa zimwaga mafuta
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom