I wish this could be the combination.
Dah, threads nyingine bwana, too metaphysical na ngumu kuzielewa!
I wish this could be the combination.
Kamanda angalia title yako kama inaendana na content . . . .
mkielewa naomba mnieleweshe
Quite right.Nafikiri alikuwa anataka kumaanisha Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) awe Mbowe na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni (NKUB) awe Hamad Rashid. Quinine, utaniwia radhi kama nimatafasiri sivo ndivo..
Dah, threads nyingine bwana, too metaphysical na ngumu kuzielewa!
Nafikiri alikuwa anataka kumaanisha Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) awe Mbowe na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni (NKUB) awe Hamad Rashid. Quinine, utaniwia radhi kama nimatafasiri sivo ndivo..
KUB = Kiongozi wa Upinzani Bungeni
NKUB= Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Mbona simpo wakuu.
KUB = Kiongozi wa Upinzani Bungeni
NKUB= Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Mbona simpo wakuu.
ndugu usinung;unike bure omba msaada kwa mtoaji wa thread
Ok poa mkuwa but ujue hinyo vifupisho si universal ndo maana wengine tumeachwa out. Thanx a lot kwa kunielewesha, naona kwinini mwenyewe kakubali hope ndo alichomaanisha. Ni nzuri!Nafikiri alikuwa anataka kumaanisha Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) awe Mbowe na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni (NKUB) awe Hamad Rashid. Quinine, utaniwia radhi kama nimatafasiri sivo ndivo..
Best hiyo mbona ndo namna yangu ya kuomba msaada!
Kama una link yake nipatie, mlijadiliana lini baada ya wote kuwa wabunge au walipokuwa nje ya bunge.Hii topic ilishaletwa hapa na wadau wakaijadili saaana. Ina maana yeye mwanzisha thread hasomi hadi aanzishe yake inayorudia yale yale na bado contents tofauti na title?