Juzi tarehe 22 February, Rais mpya wa Somalia ndugu Mohamed Abdullahi Farmajo aliapishwa na kuwa rais Mpya baada ya uchaguzi huru na wa Amani katika historia ya nchi hiyo. Viongozi waliohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na Rai Uhuru Kenyatta-Kenya na marais wengine ikiwemo Ethiopia, Djibouti na wengineo wengi. Lakini sijaona Tanzania ikituma hata mwakilishi, ili kuonyesha kwamba tuko pamoja na tuna support jitihada zao za kidemokrasia...
Article 3 (e) ya katiba ya jumuia ya Africa, inazitaka nchi mwanachama kudumisha ushirikiano miongoni mwao na kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Kenya ku-overtake kwenye siasa za kimataifa: tumeona Rais Uhuru Kenyatta akichanja mbuga kwenye medani za kisiasa za kimataifa. popote penye tukio whether in Africa na hata nje ya bara la Africa, Jamaa yupo. Siyo kwamba hajui anachokifanya, Wakenya ndo watafaidika baadae na jitihada hizi...
Logic/Lesson: wahenga walisema, riziki ya mbwa iko miguuni mwake. kuna faida kubwa sana ya kuwa na bilateral relationship kati ya Tanzania na Somalia. tunaweza kufanya biashara nao. Somalia ni jangwa na bila shaka hawana chakula cha kutosha. tunaweza peleka chakula huko na wafanya biashara wetu wakapata neema/Fursa...