Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 737
Habari za jumapili wapendwa katika bwana
Thread content
Twitter na watumiaji wake hapa nchini wamekuwa na utamaduni wa kukutana mara moja kwa mwaka kwa lengo la kufamiana, kubadilishana mawazo na kuongeza connection katika maisha, ni jambo zuri na lenye manufaa
Nitoe mapendekezo yangu, sisi wanaJF hasa tunaoishi hapa Dar es salaam tuanzishe bonanza la Jf users, litukutanishe just for entertainment, fun, and connection
Hapa najua watu na id zao hawatapenda kuziweka wazi, itapendeza siku hiyo kila mtu atunze id yake maana hakutakua na habari za kuulizana unatumia Id gani JF
Niwasikilize wanaJF, hili swala tulifanikishe tafadhali.