Kuanzisha na kuendesha website

1. Ni vyema ukaweka "nyama" kidogo ya aina ya website ambayo unahitaji.

2. Kipengele cha kwanza ndicho hutoa jibu la ghalama ya hio website

Hivyo taarifa zaidi bado inahitajika.

Karibu
Mkuu mi naweza. But please elezea kidogo aina ya website unayotaka.

Nimekutext PM
 
nami nashida kama hiyo, website ninayo itaka ni ya kuitangaza ya lorge yangu tu, nawakilisha
 
Wadau wa JF nani anautalamu wa kuanzisha website.
Na gharama zake ni kama shillingi ngapi hadi ikamilike

Usajili wa jina (Domain Name Registration) ni elfu 30 tu kwa mwaka.

Bei ya kuhost website hiyo ni elfu 18 tu kwa mwezi.

Bei ya matengenezo ya website yenyewe ni kama ifuatavyo:
Basic website - Tsh 280,000/=
Business Classic - Tsh 485,000/=
Professional content delivery - Tsh 640,000/=
Professional object delivery - Tsh 860,000/=
Enterprise Edge - Tsh 6,750,000/= na kuendelea.
Corporate Edge - Tsh 14,540,000/= na kuendelea.

Piga simu namba 0652275300
 
Back
Top Bottom