Kuanzisha Jumuia ya /jukwaa la vijana tanzania kuleta mabadiliko (20-45 years) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzisha Jumuia ya /jukwaa la vijana tanzania kuleta mabadiliko (20-45 years)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Feb 12, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana JF
  Vijana ndo wanaadhirika zaidi na umaskini wa TZ. Je tukianzisha jumuiya/jukwaa la vijana Tanzania lisilokua na itikadi yoyote ya siasa inaweza kusaidia kuwaweka vijana wote pamoja bila kuwagawa kwa itikadi za kiasiasa. Maana sasa vijana wamegawanyika na wanatumiwa na watawala kutimiza malengo yao ya kisiasa bila kuwapatia msaada wowote kuboresha maisha yao. Ni njia ipi itumike kuwaweka vijana wote watanzania kujadili mstakabali wa taifa hili? maana hawa wazee kama kina msekwa, makamba, Mwinyi walishajiweka hazina ya kutosha duniani, ndo maana wao kupotosha wananchi hawaoni shida. naombeni mawazo yenu. I am thinking aloud here. Youth generation is only hope for better Tanzania now.
   
Loading...