Kuanzisha charity/ goodwill shops kwenye nyumba za ibada

Si rahisi kujua wenye uhitaji, lakini vikiwa kwenye nyumba za ibada ni rahisi watu kuvipata. Hasa nguo za watoto kuna ambao hawana za kubadilisha watoto wakishaoga.

Ubarikiwe.umenikumbusha kitu niliplan kufanya church juzi..dah.Mungu nisamehe kumsahahu yule mtoto!
 
Ni vizuri sana kusaidiana, wengine wanapeleka vitu vya matumizi ya kila siku kama kilo tano za sukari unazifunga katika ujazo wa kilo moja moja, sabuni, mafuta ya kujipaka.

Fukiria mtu ambae hakua na cha kuwapa watoto anarudi na sukari, mafuta nk ni baraka kubwa sana.

Binafsi nimewahi faidika na hii..nilipata nguo na kiatu kipindi ambacho dunia yoote imemuegemea mama angu na hata kula ya siku ni shida.
Mungu atusaidie kukumbuka wengine kwakweli
 
Binafsi nimewahi faidika na hii..nilipata nguo na kiatu kipindi ambacho dunia yoote imemuegemea mama angu na hata kula ya siku ni shida.
Mungu atusaidie kukumbuka wengine kwakweli
Binadamu tunasahau kuwa tukifa tunazikwa kama tulivyozaliwa.
 
Japo jema Sky Eclat ila sasa tatizo sisi huku "CHATTLE" ukiwapa wanapokea halafu wanakwenda kuzinyia ULOZI!!!!
Na wanafanya hivyo ili kuhakikisha na wewe unaanguka kiuchumi:rolleyes::rolleyes:
Wewe mkatoliki unae sali rosary tena leo J4 una top up na ya mateso saba ya mama Maria bado unaogopa uchawi?
 
Hii kanda ya huku, wana akili zao za zaida, wanatisha,
Sijaishi huko lakini kupitia tu rosary Tanga majirani wakituuliza kwani nyinyi wakristu hamlogeki? Kumbe vilitumwa sana vilikuwa vinasunda

Roma tuna sala nyingi sana za kutulinda. Kuna atukuzwe baba saba kwa Roho Mtakatifu ukiamka na saba kwa malaika mlinzi ukiwa unalala hizo ni za ulinzi tu. Bado tunakimbilia ilianzishwa wako ......
 
Ahsante sana kwa mwongozo wako
 
Ni vizuri sana kusaidiana, wengine wanapeleka vitu vya matumizi ya kila siku kama kilo tano za sukari unazifunga katika ujazo wa kilo moja moja, sabuni, mafuta ya kujipaka.

Fikiria mtu ambae hakua na cha kuwapa watoto anarudi na sukari, mafuta nk ni baraka kubwa sana.

Nakumbuka moja ya hizo semina kuna mama na watoto walipewa mablangeti na watoto wakapewa viatu na mabegi ya Shule kwa jinsi alivyoshukuru kila mtu machozi yalimtoka.
Wale watoto walirudi na furaha sana.
 
Ni vitu vidogo kwako lakini vinabadilisha maisha ya mtu kwakweli kutoa ni thawabu. Huwa ninafikiria ukifa huko unakokwenda hukujui kama mema hulipwa huko ngoja tuyapande.
 
Hongera kwa kuwaza vema ila siku hizi makanisa ni mtaji wa wasimama madhabahuni, labda makanisa vijijini
 
Hongera kwa kuwaza vema ila siku hizi makanisa ni mtaji wa wasimama madhabahuni, labda makanisa vijijini
Kwa RC vijijini ni vigango vinasimamiwa na makatekista.
Padri wetu ninamwamini kwani naye anapenda maendeleo
 
Mkuu hivi umeelewa kinachoongelewa hapa?

Kuna muda wa mdhaa na kuna muda sio wa mdhaa.
Elewa kilichoulizwa. Mtu anadai tukasaidie wazazi wa watoto wasiojiweza. Ndio nikamjibu unazaaje bila mpangilio. Binafsi napiga punyere au nanunua kipochi manyoya mpaka uchumi ukae sawa
Kwa RC vijijini ni vigango vinasimamiwa na makatekista.
Padri wetu ninamini kwani naye anapends maendeleo
kAtoliki bila ubishi wamesaidia sana jamii japo wamepora ardhi/maeneo makubwa-makubwa kwa hila
 
Kwa RC vijijini ni vigango vinasimamiwa na makatekista.
Padri wetu ninamini kwani naye anapends maendeleo
Unaonaje tukianza kuwa mfano kwa kuomba wana Jf wote tukutane katika kanisa ama msikiti fulani kwa ajili ya kutoa misaada kama hii kisha iwafikie walengwa hasa vijijini?!
 
Wazo zuri sana. Itasaidia watu kuacha kujaza vitu wasivyotumia majumbani.
 
Unaonaje tukianza kuwa mfano kwa kuomba wana Jf wote tukutane katika kanisa ama msikiti fulani kwa ajili ya kutoa misaada kama hii kisha iwafikie walengwa hasa vijijini?!
Tusikutane kila mtu aende kwa muda wake. Tukikutana wengine wataishia Central Police Station.
 
Back
Top Bottom