Kuanzisha Biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzisha Biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DMussa, Oct 11, 2010.

 1. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wana JF
  Katika pitapita zangu ndani ya jukwaa hili nimejionea mambo mengi sana ambayo yanaweza kutusaidia kama Watanzania kujikwamua kiuchumi.

  Pamoja na hayo mimi pia nimefika mahali nimeona ni bora na mimi niombe ushauri wa jinsi ya kuanzisha biashara ili angalau niweze kukuza kipato changu kwani kwa kutegemea ajira sio rahisi mafanikio ya kiuchumi kupatikana. Mimi ni mhandisi na ningependa kumiliki kampuni ya Uzabuni (Contractor) itakayojihusisha zaidi na masuala ya umeme & Mitambo (electrical & mechanical) ila ugumu ninaouona ni suala zima la utaratibu na pia mahitaji muhimu kwa biashara hii sana sana vitu kama mtaji na rasilimali zingine.

  Kwa wana JF wenzangu naamini kabisa wapo wenye upeo mkubwa juu ya hili, naombeni mnipe ushauri wa nini naweza kufanya ili kuitimiza adhma yangu ya kumiliki biashara yangu mwenyewe. Pia kama kuna ideas zingine nitashukuru kama mtanipatia

  Nawasilisha...
   
 2. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu nakushauri urudi hapa jamvini kutazama kama kuna mtu amejaaribu kujibu.
   
 3. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  Ahsante mkuu...

  nipo
   
 4. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wana JF hivi hakuna hata aliyewahi kukutana na hili katika mihangaiko yake.... msaada pliiz!
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  DMussa wataka kuanza mwenyewe from the cratch ama pia uko tayari kuungana na wengine? Haraka haraka ni lazima kwanza upate usajili wa kampuni yako na kwa kazi za kandarasi zozote zile ni lazima pia ukajisajijiri na bod i ya kandarasi na bodi nyingine huko utapewa vigezo vya kutimiza ukivitimiza unakuwa tayari kuanza mchakato wa kujinadi kugombea kazi!
   
 6. babalao

  babalao Forum Spammer

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama ulivyoelezwa hapo juu unapaswa kufuata taratibu za kusajili kampuni yako vile vile usajili kwenye bodi ya wakandarasi TRA na upate leseni ya biashara. Kuhusu mtaji sidhani kwamba mtaji wako utakuwa mkubwa kwa sababu kazi yako ni ya kiufundi zaidi na kitaalamu hivyo inatumia ujuzi zaidi. Kwa kuwa wewe ni mtaalamu unajua ni vifaa gani vinahitajika na gharama zako. Kuna mambo mengi sana katika uanzishaji na uendeshaji wa kampuni ya ukandarasi. Mambio unayotakiwa kuangalia ni wafanyakazi wangapi watahitajika, ofisi, uongozi, maswala ya uhasibu na masoko. Naomba unitafute tuzungumze nikushauri na kukupa moyo. Mimi ni mshauri wa biashara na namba yangu ya simu ni 0755394701.
   
 7. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ahsanteni wakuu mliochangia. Acha na mimi niongeze senti tano yangu. Kila wakati mtu anajibu save it. I will help in the future. Plenty of good materials, I have seen here. Here we go:

  Kwanza nataka kuhakikisha nimekuelewa. kwa hiyo, usiponielewa naomba uni pm. kwa sababu huu mtiririko ukifumuka utapa support ya akili yako mpaka ukimbie.

  1. Wewe ni muhandisi (muhandisi wa namna gani? kwa mfano wa nyumba za kuishi, au nyumba za maofisi na viwanda, au unapakaa chookaa na kufany marekebisho kwenye nyumba, je unatengeza barabara, je unatengeneza mifereji ya mashamba, yaani ingekua vizuri ukituambia ufundi wa aina gani unapenda kuendeshea maisha yako. Itasaidia kukagua soko lako kimakini zaidi.

  2. Umesema lengo la biashara ni kukuza kipato (hengera and goodluck). Tuambie Unataka kuwa na uwezo wa kuingiza shilingi ngapi kwa mwaka? Usione aibu kutaja namba yoyote. Hii itasaidia kufikiria kulingana ujuzi, experiance, na network yako itakuaidia vipi kufikia malengo yako ya kuongeza kipato.

  3. Kuhusu Problem ni Utaratibu. Hawa wana JF watakusaidi,. (Fikiria kwanza 1 & 2 kabla ya register your business).

  4. Kuhusu Mtaji na Rasilimali Zingine. (a) Ujuzi ulionao ndio Rasilimali kubwa ulionayo sasa hivi. Kwa hiyo angalau una mfanya kazi mmoja. Kuna 13 simple rules za kufanikiwa katika business nadhani Invisible aliposti jana, hapa jamvini, ZISOME, ukiwa na swali tafadhali ni pm kuhusu hizo sheria za kujiendeleza kibiashara. (b) Rasilimali kama Jembe, koleo, nyundo, kalam ya mkaa, toroli, utapata. Hizo benki ziko mbele ya mlango unazania shida yao nini, Raha yao ya kwanza ni kukopesha. La muhimu hawataki wagidwe kama mabwege. Kuto kulipwa ndio kitu cha kwanza benki wanaogopa. Kama utaweza kuwahikishia biashara yako inahijika katika jamii, kuna about 50% chance watakukopesha hela za kuwekeza kwenye vifaa.

  Fuatilia mtiririko wa plani za biashara tuliovugumiziwa hapa jamvini hivi karibuni nimesahau kichwa cha habari. Hiyo pia isome, au tafuta mtu msaidiane kuichakatua its components. it's nice
   
 8. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ahsante babalao... Nitafuatilia huo utaratibu ili nijue nahitajika kufanya nini ila pia nitawasiliana na wewe very soon.
   
 9. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana Mkuu Mziba....

  Mkuu Kuhusu Na. 1: Mimi ni mhandisi wa masuala ya umeme ila pia nimepata exposure ya kutosha kwenye Mechanical engineering katika utendaji kazi wangu. Ningependelea kuendesha uzabuni wangu kwa kushughulika na majengo yote (makazi na ya kibiashara) ila pia hata kwenye industrial installations.

  Kipato ninachohitaji kuongeza ni at least 50m kwa mwaka ila pia kiwe kinakuwa mwaka hadi mwaka kwa 25% kwa kutegemeana na wingi wa kazi na mabadiliko katika soko.

  Suala la mtaji: Mtaji wa taaluma upo na kwa kuanzia nimefikiria nipate technicians wawili electrical na mechanical na mimi pia nitatumia ujuzi kama capital. Kwa upande wa fedha sina picha kamili kwa sababu mpaka sasa sina uhakika administrative costs zitahitaji kiasi gani katika biashara hii ila kwa vile technical kama Tool box, Safety gears, Computer, Simu ninaelewa cost implications zake.

  Nitazisoma hizo rules za kiranja mkuu Invisible, Ahsanteni sana kwa michango yenu mizuri ngoja nikune kichwa..... will be back
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  changamkia ushauri huo na mtaalam wa biashara na ushauri tunae babalao ata kwa mchanganuo wa kuomba mkopo benki yote anawea
   
 11. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Don't forget to study the market and plan the modus operandi.
  Ukiwa na ramani unayotaka kwenda, ukajua wanyama wa msitu ule utakaopitia, utakuwa umeshapata ufumbuzi wa matatizo ambayo yangeku suprise. All the best -- Keep honest though :smiling:
   
 12. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  First and foremost, you need to write your business plan.
  What do you plan to do?
  Scope of your business.
  Areas of expertise you offer.
  who and where are your Potential customers (this is very important)
  Estimated expenses v/s profit etc.
  Capital needed
  Try to google for further info, or conduct some kind of investigation/study to determine how others involved in the same business you plan to engage in have been doing etc
  It's kind of hard to start anything nowadays, but the good news is; it can be done!
  Please do not give up!
   
 13. mpendaMaendeleo

  mpendaMaendeleo JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  its not what you have, its how you do with what you have.......
  make decision now, stop work for money.
  self employment is the answer.
   
 14. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Thanx Raj,

  Noted mkuu.
   
 15. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu YeshuaHaMelech ahsante sana kwa ushauri mzuri... I'm building on it!
   
 16. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kweli JF ni mambo yote.... ahsante Mpendamaendeleo....
  Nimechoka kutrade 30days for a wage... I want to be able to decide and work with discpline in my own area of interest. Ahsante sana....
   
 17. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Today, I read your post which I have quoted above. It has inspired me to post this PDF attachament above. I seek your help to do this just to support the self employment innitiative. I will tell you what I have based on your feed backs. let's fight poverty right from here going forward. Talk is cheap gentlemen, I 've had it. Believe me, you!
  Thank you all.
   
 18. k

  kassamali JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Naomba akili yako ikae ikijua kuwa biashara ni risk.
  Unaweza ukafanikiwa au la! Jiandae kwa yote mawili.
  Kila la heri mkuu na nakuombea ufanikiwe.
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Businesses in serious trouble are like people with a crippling long term addiction to drugs or alcohol.........TALKING FROM EXPERIENCE....remember having one good idea is never enough
   
Loading...