Kuanzia sasa ukiwa unaambatana tu na ‘ Mkemia Mbishi ‘ jitahidi angalau uwe na Ujuzi wa mambo yafuatayo…..

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,469
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,469 2,000
 • Kupiga Ngoma hasa Tumba
 • Kupiga Pushapu
 • Kupiga Picha ( kama alivyofanya Kassim leo japo sijajua kama ile Picha aliyopiga ikisafishwa itatokea nzuri kwani niliona kama vile aliipindisha Camera juu chini )
 • Kupozi vyema kwa Kupiga Selfies
 • Kukimbia
 • Kucheza Mziki ( na ufuatishe Mdundo siyo linapigwa Sebene Wewe unacheza Litungu hapo utatumbuliwa upesi sana tu )
 • Uwe na uwezo mkubwa wa Kuhesabu na wa Kumbukumbu ( na usiwe kama Kabudi ambaye alipoambiwa ahesabu yale Mawe madogo ya Dhahabu yaliyokuwa mbele ya Rais yaliyorudishwa kutoka Kenya Yeye akasema yalikuwa 17 ila alipoamka Mwenyewe Mkemi Mbishi kuhesaba akakuta yalikuwa 22 na Kabudi pamoja na Kujipendekeza Kwake kote akaumbuka na kujiona kweli aliokotwa Jalalani )

Kama unajijua kabisa huna hata mojawapo ya Ujuzi tajwa hapo juu nakushauri mapema sana kuwa Siku ukiwekwa katika Ratiba ya ‘ Kiitifaki ‘ na Mheshimiwa Mkemia Mbishi waambie tu wakutoe haraka kwani huenda ukikubali huko mbele hasa katika eneo la Tukio ukaja Kuumbuka na Hadhi yako pia Kushuka.

Bado naiwazia sana ile Pushapu ya mwisho ya leo ya Mkemia Mbishi kwani niliona kama vile anataka Kuomba Maji na Pumzi ilishaanza Kukata ila ashukuriwe sana Baba Askofu na Mufti kwani huenda Maombi yao ya kimoyomoyo yalifanya Kazi ili Mtu mzima asije Kuumbuka mbele ya Hadhira ile kubwa na hatimaye akapatwa na nguvu ya Ajabu ya Kiroho na akaamka tena akiwa ‘ Fiti ‘ kabisa.
 
Joined
May 13, 2019
Messages
76
Points
150
Joined May 13, 2019
76 150

Hehe heh hehe
 
Encryption

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
371
Points
1,000

Encryption

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
371 1,000

Vipi kaela kakuchangia miradi mbalimbali haipaswi kuwa nako kwenye ziara?
 
Forum statistics

Threads 1,382,257
Members 526,314
Posts 33,823,311
Top