Kuanzia sasa Ubunge iwe kazi ya kujitolea(wito) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzia sasa Ubunge iwe kazi ya kujitolea(wito)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jul 25, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hali ninavyoiona tunahitaji kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza uwajibikaji.tujaribu kufanya kazi ya ubunge au uwakilishi wa wananchi iwe kazi ya kujitolea,hii itasaidia kutenganisha siasa na biashara na itasaidia wananchi kupata wawakilishi wenye uzalendo na wanaojua shida za wananchi hata wanapokuwa mjengoni.isitoshe wabunge sio 'productive' kama ilivyowahi kusemekana madaktari hawazalishi.nina uhakika serikali ingejipanga kabla ya kuja bungeni na hoja nyepesi!pia itapunguza wimbi kubwa la nguvukazi ya taifa(wataalamu)kukimbilia mjengoni badala ya kuhudumia wananchi na kuongeza uzalishaji.watanzania tuko wengi na wengi wetu ni wazalendo tunaoweza kwenda kuwakilisha wananchi bila POSHO yoyote.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Haya ndio MAAMUZI MAGUMU jamani!
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Kitumbua kiingie mchanga?
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wabunge mliomo humu kwa nini muendelee kulipwa maposho mengi wakati mnatambua nchi yetu ni maskini?
   
Loading...