Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,415
- 21,107
Kuku siwali tena akyamungu
Nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku
Nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku
Sasa kama kuku alikanyaga sindano au ku.eza sisi tukusaidiaje....piga dua kata nyama mwanawane.....Kuku siwali tena akyamungu
Nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku
siwezi kwa kweli mkuuSasa kama kuku alikanyaga sindano au ku.eza sisi tukusaidiaje....piga dua kata nyama mwanawane.....
hiyo ndo silagi kabisaBora tubaki wachache, acha basi kula na ile white meat nyingine pendwa.
msalimie HR 666hiyo ndo silagi kabisa
Huyo si scavenger mkuu
Kama unakula huyo basi huna tofauti na anayekula kunguru au fisi
Eti uache kipaja na firigisi!....siyo rahisi kihivyo..Susa tu, sisi tunaendelea.
Huenda alununua kuku wa barabarani ambao tayari wameshakaangwa.Kumbe humu jf hata vicheche huhudhuria bwana. Yaani mla kuku kala bila kumnyonyoa wala kumchinjja wala kumpika. Kama aliandaliwa hivyo na bado ukaikuta hiyo sindano, mwandaaji hata yeye ni tatizo. Hajui hata kujiosha.
Kumbe wewe ni journalist mkuu.Eleza kwa kina, with 5W+H.
Umekula Yale makuku wanayoya boost wanlichoma sindano. Anakuwa mkubwa Muda mfupi tu. Halafu pia pia sio sindano ndogo sindano Lao kubwa..Kuku siwali tena akyamungu
Nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku