Kuanzia leo sili tena kuku, nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku

ha ha ha haaaa mkuu embu fafanua imeikuta maeneo gani, sindano kama hizi za mahospitalini au sindano ya kushonea nguo
 
Nilishawahi shuhudia mama mmoja anawachoma sindano kuku tena ile tutumiayo binadamu eti ili wawahi kukua na kunenepa.

Na yawezekana na hiyo kuku uliyokula ilipigwa hizo sindano bahati mbaya ikakatikia wakashindwa kuitoa.

Tangu nipate akili sijawahi kula hawa kuku wala mayai yake.
 
Kumbe humu jf hata vicheche huhudhuria bwana. Yaani mla kuku kala bila kumnyonyoa wala kumchinjja wala kumpika. Kama aliandaliwa hivyo na bado ukaikuta hiyo sindano, mwandaaji hata yeye ni tatizo. Hajui hata kujiosha.
 
Huenda alununua kuku wa barabarani ambao tayari wameshakaangwa.
 
Kuku siwali tena akyamungu

Nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku
Umekula Yale makuku wanayoya boost wanlichoma sindano. Anakuwa mkubwa Muda mfupi tu. Halafu pia pia sio sindano ndogo sindano Lao kubwa..
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom