Ile kila siku na mimi huwa naomba na walokole wakatazwe tubaki wachache aise.Bora tubaki wachache, acha basi kula na ile white meat nyingine pendwa.
hospitalha ha ha haaaa mkuu embu fafanua imeikuta maeneo gani, sindano kama hizi za mahospitalini au sindano ya kushonea nguo
Picha mkuuKuku siwali tena akyamungu
Nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku
Duhsiwezi kwa kweli mkuu
Kuku siwali tena akyamungu
Nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku
hiyo ndo silagi kabisa
Huyo si scavenger mkuu
Kama unakula huyo basi huna tofauti na anayekula kunguru au fisi