Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,967
- 10,460
Kama ana sifa za kuwa raisi kwa ni ni asipewe? Ana mapungufu gani?
Kama ana sifa za kuwa raisi kwa ni ni asipewe? Ana mapungufu gani?
Hukupitia page yake ya twitter.ninachomkubali JMakamba ni kwamba aliweza kuhifadhi maneno na hakutoa kashfa kwa Lowasa kama ilivyokuwa kwa wengine, leo lowasa karejea CCM ana amani sana na ujio wake.
Unatamani am replace Edo mkuu?